Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Hana historia ya kupigania mikataba ya madini...waTz wanajua mtetezi wa rasilimali zao ikiwemo madini ni TL.
..historia yake imeanzia Rufiji delta, Bulyankulu, Nzega, Geita, Buzwagi, North Mara, mpaka mikoa ya kusini.
..ukweli huo uliposhindikana kufutwa ndipo wakatumwa wasiojulikana kwenda kumshambulia kwa risasi.
Huko nyuma uhusiano wake na maswala ya madini alikuwa mwanaharakati aliejikita kwenye issue za human rights migodini na kupigania maslahi ya wachimbaji wadogo ndio mambo yaliyokuwa yanayo mfikisha mahakamani enzi za mkapa (not to down play is heroic acts of the time).
But then ni mambo ambayo ata Joseph Msukuma anafanya mpaka leo sasa huyu nae ajigambe amepigania mikataba bora ya madini na investors.