Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Wasukuma ni moja kati ya makabila machache ambayo bado yana ukabila. Yaani msukuma akiona msukuma mwenzake ana cheo anajiona kama yeye hata kama mwenye cheo uwezo wake wa kiutendaji ni mdogo sana. Ukitaka kujua wasukuma bado wana ukabila tembelea wilaya za wasukuma tu kama Misungwi na Kwimba ndo uone kuwa wasukuma ni kati ya makabila ambayo bado yako nyuma. Viongozi wengi ambayo ni wasukuma hajawahi kufanya vizuri, hawafanyi vizuri na hawatakuja fanya vizuri. Makonda ana skendo za kujilimbikizia mali akiwa mkuu wa mkoa vipi akipewa urais?
Kathubutu kwa lipi? Unajua ukifanya kura ya maoni ya top 3 ya watu wasiopendwa Tanzania nzima lazima Makonda atakuwemo tu. For me, huna point unachofanya unatetea ukabila tu. Usukuma unakutesa sana.! Ila kama ule wimbo siku hazigandi na yetu macho hii propaganda ya usukumanization unayofanya itaisha na wasukuma wote mutaonekana watu wa hovyo kabisa subiri siku rais wenu akitoka mutaonekana watu wa hovyo kabisa.
 
Ni kweli Makonda anaweza kupokea kijiti kwa JPM kwani tulishafanya kosa la kiufundi kwa kumchagua JPM ili hali baba wa Taifa alituonya.

Mwalimu Nyerere alituhusia sana tusichague rais kutoka kwenye kabila lenye idadi kubwa ya watu.
 
Viongozi wengi ambayo ni wasukuma hajawahi kufanya vizuri, hawafanyi vizuri na hawatakuja fanya vizuri.
Hapa sasa naona kama unahukumu na kulaani. Unajuaje kama viongozi Wasukuma hawatakuja kufanya vizuri?, kwani wewe ni Mungu?!.

Hili la kuhukumu nakushauri

Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.

Hili la Wasukuma hawajawahi kufanya vizuri it's just a matter of time, kama hii ni miaka 3 tuu,
  1. Barabara za lami nchi nzima!.
  2. Barabara za juu kwa juu!.
  3. Midege 7 mipya hadi dreamliner
  4. Reli ya SGR
  5. Mabasi ya mwendo kasi
  6. Mijengo ya ajabu!.
  7. Kuhamia Dodoma!.
  8. Watumishi Hewa!.
  9. Waliofoji vyeti out!.
  10. Utumbuaji Majipu!.
  11. Safari za Nje!.
  12. Mafisadi...
  13. Wavivu...
  14. Wazembe...
  15. Wala Rushwa...
  16. Vita vya rushwa
  17. Vita vya ufisadi
  18. Mfariji wa wanyonge
  19. Makinikia
  20. Gawio la mabilioni
  21. Maduhuli yanakusanywa
  22. Kodi inakusanywa
  23. Hapa kazi tuu
  24. Live kibao za Ikulu
  25. Sheria ya haki ya kupata habari
  26. Sheria mpya ya habari
  27. Sheria mpya ya madini
  28. Elimu bure
  29. Mikopo ya Elumu ya juu
and the list goes on..
Tumeshauri
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
P.
 
Hata wewe paskali unafaa kugombea uprezdah 2020 tangaza nia tu!
Ova
Yes 2020 na mimi nitagombea urais....
wa PPR. Hatua ya kwanza tutakwenda Brella kubadili zile articles of association na referendum of PPR company badala ya kuongozwa na Managing Director, itaongozwa na President of PPR group of companies hivyo 2020 nitagombea urais.
P.
 
mkuu Pascal Mayalla there's only one explanation - Makonda is after glory. alitaka ionekane ni juhudi yake yeye binafsi.
huyu dogo asipopigwa break na ninyi Watanzania, mimi nakwambia awamu ijayo anaweza kuja kurithishwa kile kiti cha mfalme!
Anaweza kuja kurithishwa au baada ya kumuona ana uwezo, ni halali yake kuja kumpokea, na ndio maana sisi wengine tayari tumeisha anza kumpigia chapuo!.

P.
 
ukabila hata kwa wasomi ni kitu kibaya sana,basi mwambieni akaongeze elimu na atafute vyeti vyake asitumie vya mwingine.ila marais wengi wanapishana,akimaliza muislamu anafuata mkristo japo mi sipendi udini ila naona hii series ipo.Nyerere-Mwinyi,Mwinyi -Mkapa,Mkapa -Kikwete,Kikwete -Magufuli.Magufuli labda atafuata Zitto Kabwe naamini atakuwa keshahamia CCM asipokuwa yeye basi atakuwa yule mtoto wa mwinyi waziri wa ULINZI,Kwa upinzani wakibahatika sana atakuwa Fatma Karume nahc tu,hahahahahaaaa nimekumbuka alivyosema kwenye kikao eti Mayala inamaanisha njaa kwa lugha yao hiki kidongo cjui kwa nn alikitoa hlf najiuliza kwa nn hadi leo hajakupatia uongozi wowt we ni mtu makini sana tena sana huwezi kulinganishwa na Muro,Katambi na wengine wasio na akili walio viongozi km akina mseti,we aina yako ni General Ulimwengu na Dr wangu Shivji na T.Lisu,ipo siku utonekana tu wasipokuona leo,ksh watakuona wenye akili ila hizi ni hazina mhm sana kwetu
 
ha ha ha ha ha ha jibu zuri
 
Naomba niwe katibu mkuu kiongozi wa PPR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…