Baada ya mahojiano ya Chief Odemba na Tundu Lissu leo nimeelewa kwa nini dereva yuko Ubeligiji

Itakumbukwa kuwa IGP Simon Siro alisema polisi wameshindwa kuendelea na uchunguzi wa kisa cha Tundu Lissu kupigwa risasi kwa sababu hakuwepo Tanzania. Lakini hata baada ya Lissu kurejea nchini bado polisi walisema hawawezi kuendelea na uchunguzi hadi dereva wake naye arejee kwa sababu ndiye aliyeshuhudia risasi zikipigwa. Lakini pia hadi leo polisi hawajafungua jalada la uchunguzi wa tukio hilo la kijinai na kigaidi.

Katika mahojiano hayo Lissu amesema anaishtaki kampuni ya Tigo kwa kuhusika kwake kutoa taarifa zilizofanikisha Makonda na genge lake kumpiga risasi.

Kwa sasa Tundu Lissu amekamilisha maadalizi ya kufungua kesi hiyo na miongoni mwa watu watakaoitwa kutoa ushahidi ni polisi, Makonda na dereva. Kwa sababu hiyo ni wazi dereva ni mtu muhimu sana katika kesi hiyo na kuja kwake nchini kunaweza kusababisha ushahidi wake kupotea au kupotezwa. Nadhani imeeleweka " kupotea au kupotezwa"!
Dereva naye ni muhanga wa tukio hili, lakini kwa nini hakuguswa na risasi walau moja, pia dereva atakuwa na lipi la ajabu kwa sababu yeye atasema," alishtukia risasi zikipigwa kutokea upande wa kushoto, na watu ambao kwa vyovyote hawezi kuwatambua, nasema hivi hivi dereva naye alikuwa ni muhanga.
 
Nawaza kwa nini Tundu Lissu amesema kuna watu kadhaa wataitwa kwenye kesi ya Tigo.

Why kesi iwe ya Tigo lakini watu wengine wahusishwe? Wana muunganiko gani kati yao na tigo na tukio zima?
 
Hili chezo ni lao wenyewe kwa wenyewe!
Dereva angesaidia sana ushahidi maana yeye ndiye shahidi namba moja,na ushahidi kwake ni simple sana ukizingatia naye ni muhanga kama Lisu.
(Inashangaza muhanga mwenza kujificha, wakati tatizo lilikuwa lao wote)
--# hicho ndicho kitendawili?
 
Taasisi ya kutekeleza sheria hautakiwi kutumwa na mtu, wewe ni msimamizi wa sheria sio msimamizi wa maelekezo ya mtu, taasisi ya usimamizi wa sheria inasimamia utekelezaji wa sheria, zikivunjwa ichukue hatua sio maelekezo ya watu, polisi sio taasisi ya kutekeleza maelekezo ya mtu, ni sheria.

Jeshi la polisi litenganishwe mbali na wanasiasa, liwe huru kusimamia sheria
Mheshimiwa, Je, una uhakika kwamba hauugui kichaa?
 
"Injustice somewhere is the threat to justice everywhere."

Reverend Dr. Martin Luther King Jr.

Je, wewe binafsi ungejisikiaje endapo kama zile risasi za moto alizopigwa Tundu Lissu kule Dodoma angepigwa nazo mama yako mzazi?? Je, ungefurahi au ungehuzunika kutokana na tukio hilo???
Hawa wanauwaga mama zao huko migombani Ili kupata utajiri 🐼
 
Dereva naye ni muhanga wa tukio hili, lakini kwa nini hakuguswa na risasi walau moja, pia dereva atakuwa na lipi la ajabu kwa sababu yeye atasema," alishtukia risasi zikipigwa kutokea upande wa kushoto, na watu ambao kwa vyovyote hawezi kuwatambua, nasema hivi hivi dereva naye alikuwa ni muhanga.
Hili chezo ni lao wenyewe kwa wenyewe!
Dereva angesaidia sana ushahidi maana yeye ndiye shahidi namba moja,na ushahidi kwake ni simple sana ukizingatia naye ni muhanga kama Lisu.
(Inashangaza muhanga mwenza kujificha, wakati tatizo lilikuwa lao wote)
--# hicho ndicho kitendawili?
Imagine, upo wewe na dereva wako, mnapata tatizo, dereva anaamua kujificha, na wewe bosi wake unaamua kumuhifadhi kwa bidii zote,
# jiulize mazingira hayo ni ya kawaida?
Mostly probably, you're among of the undercover cop that involved in the incident, so, you are here for the special task of making the spinning propaganda in order to deceive the public.
 
Kwa hiyo polisi wanaogopa kumuhoji mwenye kigoda? Hao watakuwa polisi au nguruwe 🐖!
Hawajashindwa chochote na hawatokuja kushindwa na vikitu kama chadema, wao wametulia tu wanawachora wawaone mnapoishia. Hawakushindwa kuzuia maandamano watashindwa kumuhoji mbowe kweli???
 
Itakumbukwa kuwa IGP Simon Siro alisema polisi wameshindwa kuendelea na uchunguzi wa kisa cha Tundu Lissu kupigwa risasi kwa sababu hakuwepo Tanzania. Lakini hata baada ya Lissu kurejea nchini bado polisi walisema hawawezi kuendelea na uchunguzi hadi dereva wake naye arejee kwa sababu ndiye aliyeshuhudia risasi zikipigwa. Lakini pia hadi leo polisi hawajafungua jalada la uchunguzi wa tukio hilo la kijinai na kigaidi.

Katika mahojiano hayo Lissu amesema anaishtaki kampuni ya Tigo kwa kuhusika kwake kutoa taarifa zilizofanikisha Makonda na genge lake kumpiga risasi.

Kwa sasa Tundu Lissu amekamilisha maadalizi ya kufungua kesi hiyo na miongoni mwa watu watakaoitwa kutoa ushahidi ni polisi, Makonda na dereva. Kwa sababu hiyo ni wazi dereva ni mtu muhimu sana katika kesi hiyo na kuja kwake nchini kunaweza kusababisha ushahidi wake kupotea au kupotezwa. Nadhani imeeleweka " kupotea au kupotezwa"!
Kwa hiyo tundu lissu kaanza kushindana na ROSTAM AZIZI 🙄🙄🤣
 
Back
Top Bottom