Baada ya mahojiano ya Chief Odemba na Tundu Lissu leo nimeelewa kwa nini dereva yuko Ubeligiji

Dereva naye ni muhanga wa tukio hili, lakini kwa nini hakuguswa na risasi walau moja, pia dereva atakuwa na lipi la ajabu kwa sababu yeye atasema," alishtukia risasi zikipigwa kutokea upande wa kushoto, na watu ambao kwa vyovyote hawezi kuwatambua, nasema hivi hivi dereva naye alikuwa ni muhanga.
 
Nawaza kwa nini Tundu Lissu amesema kuna watu kadhaa wataitwa kwenye kesi ya Tigo.

Why kesi iwe ya Tigo lakini watu wengine wahusishwe? Wana muunganiko gani kati yao na tigo na tukio zima?
 
Nawaza kwa nini Tundu Lissu amesema kuna watu kadhaa wataitwa kwenye kesi ya Tigo.

Why kesi iwe ya Tigo lakini watu wengine wahusishwe? Wana muunganiko gani kati yao na tigo na tukio zima?
Hili chezo ni lao wenyewe kwa wenyewe!
Dereva angesaidia sana ushahidi maana yeye ndiye shahidi namba moja,na ushahidi kwake ni simple sana ukizingatia naye ni muhanga kama Lisu.
(Inashangaza muhanga mwenza kujificha, wakati tatizo lilikuwa lao wote)
--# hicho ndicho kitendawili?
 
Mheshimiwa, Je, una uhakika kwamba hauugui kichaa?
 
Hawa wanauwaga mama zao huko migombani Ili kupata utajiri 🐼
 
Imagine, upo wewe na dereva wako, mnapata tatizo, dereva anaamua kujificha, na wewe bosi wake unaamua kumuhifadhi kwa bidii zote,
# jiulize mazingira hayo ni ya kawaida?
Mostly probably, you're among of the undercover cop that involved in the incident, so, you are here for the special task of making the spinning propaganda in order to deceive the public.
 
Kwa hiyo polisi wanaogopa kumuhoji mwenye kigoda? Hao watakuwa polisi au nguruwe πŸ–!
Hawajashindwa chochote na hawatokuja kushindwa na vikitu kama chadema, wao wametulia tu wanawachora wawaone mnapoishia. Hawakushindwa kuzuia maandamano watashindwa kumuhoji mbowe kweli???
 
Kwa hiyo tundu lissu kaanza kushindana na ROSTAM AZIZI πŸ™„πŸ™„πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…