Baada ya mahojiano ya Chief Odemba na Tundu Lissu leo nimeelewa kwa nini dereva yuko Ubeligiji

Watu wanawaza uchaguzi na kujipanga,, yeye busy na nonsense huku akitumbua pesa tulimchangia
Weka screenshot ya muamala uliomchangia. Hata shs 900 tu itapendeza. Ila hongera kwa kusema uongo hadharani.
 
Watu wanawaza uchaguzi na kujipanga,, yeye busy na nonsense huku akitumbua pesa tulimchangia
Hivi wewe unaweza mchangia hata sh kumi? Anyway kuwa mjinga pia ni uamuzi
 
Nawaza kwa nini Tundu Lissu amesema kuna watu kadhaa wataitwa kwenye kesi ya Tigo.

Why kesi iwe ya Tigo lakini watu wengine wahusishwe? Wana muunganiko gani kati yao na tigo na tukio zima?
Kama kasema kuna watu wataitwa kwenye hiyo kesi basi tusubirie wakitwa ndiyo tutajua huo muunganiko
 
Yaani serikali itake kukua tundu lissu imkose?!!!!!!! Mnaumwa nyie, chunguzaneni vizuri chamani kwenu huko mnakobinywa na mwenye kigoda chake Huku nje mkijifanya kuchelewa ilhali ndani ya nafsi hampendi.
WEWE NI MMOJA WAO UNAYEJUA AU ULISHIRIKI, KWA SABABU SEREKALI YETU INADHALILIKA WEWE UMEKAA KIMYA. Mambo siyo ya kichawa NI serious. F*CK you
 
JESHI LETU LINAVURUGWA NA WANASIASA WAKUNWA WA CCM
 
Kesi haipo kwenye Mahakama za Profesa Juma.
 
Haya makonda jiandae kwenda kujitetea mahakama za nje kuhusika kwako katika jaribio la kutaka kumuua mtanzania mwezako ili kumfurahisha mfalme.
Yaani huko ni lazima utakwenda tu maana kele hakuna Di Pi Piii wa kukufutia kesi.
 
We jamaa una akili ndogo sana ya kuchanganua mambo, Zile CCTV Camera mbona zilikua ushahidi tosha, jiulize kwanini zilinyofolewa na wasiojulikana

Hao polisi walishafanya uchunguzi wa nani alingoa cctv?
 
Kingine ni Katiba! Askari wanaogopa kufukuzwa katika ajira!
Kingine ni Katiba, askari wanaogopa kufukuzwa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hivi wewe ni Mtanzania kweli? Mbona unaandika vitu visivyoeleweka?
 
Yaani serikali itake kukua tundu lissu imkose?!!!!!!! Mnaumwa nyie, chunguzaneni vizuri chamani kwenu huko mnakobinywa na mwenye kigoda chake Huku nje mkijifanya kuchelewa ilhali ndani ya nafsi hampendi.
Samson mwenye nguvu akawafunga mikia wale mbweha,akawaachia kwenye mashamba ya ngano na shairi na yule mama Sambaza Shida Hangaisha a.k.a chura kiziwi akasema kwa polisi wake uchunguzi ufanywe na apewe taarifa haraka,hadi leo Novemba HARAKA haijafika!Hata kwa mzee Kibao mbweha wanaliofungwa mikia wanashangilia mauaji kwenye nchi ya amani na utulivu na nyimbo zao ni chunguzaneni na sio kodi zetu wanalipwa polisi kwa kazi ipi,ya kuteka au kupiga?
 
Kingine ni Katiba, askari wanaogopa kufukuzwa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hivi wewe ni Mtanzania kweli? Mbona unaandika vitu visivyoeleweka?
Nguruwe ๐Ÿ– mwingine huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ