Baada ya Maji ya Kilimanjaro Kuchakachuliwa, Je Maji Yako Bora ni Yapi?

Baada ya Maji ya Kilimanjaro Kuchakachuliwa, Je Maji Yako Bora ni Yapi?

Unaharibu brand ya watu kwa faida ya nani?
Huwezi kujua nawasaidia kiasi gani Coca-Cola waweze kulinda brand yao kwa vile kuna watu wanaichezea.

Pia naokoa na maisha ya Watanzania wanaweza kunywa maji ambayo siyo salama.

Naomba uliangalie hili in the big picture ba siyo kwa mtazamo huo
 
Wahuni wanachakachua sana maji ya chupa ya Kilimanjaro. Mimi nina zaidi ya mwaka mzima sinywi maji ya Kilimanjaro. Maji yangu pendwa kwa sasa ni Dew Drop.

View attachment 3138044

Je wewe unakunywa maji gani?
Dew Drop nayo yameshaanza kuchakachuliwa. Maji mazuri kuliko yote ni SEQWA. Tatizo hayapo maeneo men
gi. Mweny
e hiyo kampuni ajitahidi kusambaza maji mikoani na hiyo chupa yake aiboreshe iwe ngumu kidogo. Maji mengine yanayojitahidi ni Afya!
 
Huwezi kujua nawasaidia kiasi gani Coca-Cola waweze kulinda brand yao kwa vile kuna watu wanaichezea.

Pia naokoa na maisha ya Watanzania wanaweza kunywa maji ambayo siyo salama.

Naomba uliangalie hili in the big picture ba siyo kwa mtazamo huo
TBS hawalindi tena mlaji.wengine tunatumia malagalasi au Bunena
 
Screenshot_20241029-135155.png
 
Back
Top Bottom