Baada ya Maji ya Kilimanjaro Kuchakachuliwa, Je Maji Yako Bora ni Yapi?

Baada ya Maji ya Kilimanjaro Kuchakachuliwa, Je Maji Yako Bora ni Yapi?

Wahuni wanachakachua sana maji ya chupa ya Kilimanjaro. Mimi nina zaidi ya mwaka mzima sinywi maji ya Kilimanjaro. Maji yangu pendwa kwa sasa ni Dew Drop.

View attachment 3138044

Je wewe unakunywa maji gani?
Yamechakachuliwa vipi? acha kuharibu Biashara za watu, Maji kinacho uzwa ni ile process yote hadi Packaging na kusambaza. Maji kama maji hayauzwi,

Ndio mnaana unaona wazalishaji wengi wamejikita sana kwenye Packiging kuvutia soko.

Maji unayachakachua vipi wakati yamejaaa? au kuna uhaba wa maji nchi hii?
 
Na wajinga humu wana sapoti ujinga bila kujiuliza, nchi ina wajinga wengi sana wasio waza chochote yaani wewe anzisha uzushi watajaa kusapoti.
Kwa hiyo unajiona una akili na mjanja fulani vile?? Kwenye usilolijua chutama ujuzwe.

Kwani ukiacha post yangu namba moja, hujasikia na members wengine wanaongelea namna wahuni wanavyotengeneza maji backyard kwa kutumia brand packaging za wazalishaji wakubwa??

Huoni hii ni wake up call kwa Kilimanjaro kufuatilia soko lao? Fungua akili yako ione the big picture
 
Maji mabaya kama yanamadi ..
Kweli wachakachuaji nao wasenge wanashinndwa hata kuweka majii yaendane hata ladha, maji yapo kama ya kandolo
 
Kuna yale maji ya Ndanda!! Sijui yanaendeleaje
 
Kwa hiyo unajiona una akili na mjanja fulani vile?? Kwenye usilolijua chutama ujuzwe.

Kwani ukiacha post yangu namba moja, hujasikia na members wengine wanaongelea namna wahuni wanavyotengeneza maji backyard kwa kutumia brand packaging za wazalishaji wakubwa??

Huoni hii ni wake up call kwa Kilimanjaro kufuatilia soko lao? Fungua akili yako ione the big picture
Acha ujinga
 
Back
Top Bottom