Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Sequare
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawasa maji yao sijui yana clorin nyingi ngumu kumezanachemsha zangu ya dawasa
Sijawahi yapenda. Naona ametarget soko kwa wananchi.GSM water
KwaniniSidhani kama Maji Africa bado yapo. Naona wale Wagiriki wa Iringa walibadili biashara
Sio kweli mkuu mbona Yana Toka kwa kasi sana sokoniSijawahi yapenda. Naona ametarget soko kwa wananchi.
Vhupa yake ina ukijani hiviii, so maji yanaonekana kama yameharibika
Wahuni wanachakachua sana maji ya chupa ya Kilimanjaro. Mimi nina zaidi ya mwaka mzima sinywi maji ya Kilimanjaro. Maji yangu pendwa kwa sasa ni Dew Drop.
View attachment 3138044
Je wewe unakunywa maji gani?
Mwaka jana pale Mlowo kwa mnyi mshamba Lucas Mwashambwa walikamata kiwanda cha kuchakachua maji ya Dew Drop.Maji yangu pendwa kwa sasa ni Dew Drop.
Kasumba ya ushabiki na upya wa bidhaaSio kweli mkuu mbona Yana Toka kwa kasi sana sokoni
Nafikiri ndo maji yalikuwa bora saana plus packaging yao nzuri miaka ya 2010 kurudi nyumaSidhani kama Maji Africa bado yapo. Naona wale Wagiriki wa Iringa walibadili biashara
Unayo yachemsha mwenyewe ndiyo ya uhakikaWahuni wanachakachua sana maji ya chupa ya Kilimanjaro. Mimi nina zaidi ya mwaka mzima sinywi maji ya Kilimanjaro. Maji yangu pendwa kwa sasa ni Dew Drop.
View attachment 3138044
Je wewe unakunywa maji gani?