Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Samia oyeee.Ndugulile ondoa idea za Magufuli. Magufuli alitaka kupandisha vifurushi ili watu wasiingie mitandao ya jamii,ili wasihabarike. Maana mitandao ya jamii ndo source ya habari. Magufuli kafa. Acheni kufufua idea zake za kijinga.

Nasisitiza Dr Ndugulile hajielewi kabisa ,hakumona mwenzake CAG kichere alibadili GEAR angani kwenye ripoti yake? Ilitakiwa na yeye abadili gia aachane na mawazo ya MEKO, kuendeleza mambo ya MEKO yatamcost ulaji wake.
 
Mama Samia, ikikupendeza mtoe Ndugulile, huyu ni Medical Doctor, mtafute tu mzuri wa mawasiliano na teknolojia kae kwenye hiyo wizara
Duuh basi ndio maana ... kaleta haya mambo hahaha

Miezi kama miwili nyjma nkliona article kwenye social media huyo jamaa akijaribu kuelezea maswala ya GB na MB ... hesabu zake zilikuja kama GB 1 kwa Tshs 9,000
 
Kwa jinsi alivyobugi stepu huyu waziri wa teknolojia bora aondolewe kabisa ameonyesha uwezo mdogo
 
Habari zilizo teka mitandao na nje ya mitandao ni taarifa ya vifurushi vilivyo badilishwa.
Hii ilinilazimu kuandaa uzi maalumu usemao Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya
Kwa namna moja au nyingine nilionekana kama naropoka tu.

Lakini siku ya leo mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA wameliona hilo na kuja na taarifa hizi👇
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Semu Mwakyanjala, amesema matumizi ya bei mpya ya vifurushi yamesitishwa kwa muda.

Hata hivyo, amesema uamuzi huo utahusu vifurushi vya data pekee huku vile vya ujumbe mfupi wa maneno na kupiga zitaendelea kama ilivyotangazwa mapema leo Ijumaa.

“Tumesitisha matumizi ya gharama mpya za vifurushi hadi hapo itakapotangazwa baadaye. Lakini, hili litahusu vifurushi vya data pekee na vile vya sms na kupiga vitaendelea kama kawaida,” amesema Mwakyanjala alipozungumza na Mwananchi kwa njia ya simu dakika chache zilizopita.

Kanuni ndogo za gharama na tozo za vifurushi, utangazaji wa huduma na ofa maalum zilizotungwa na TCRA, zimeanza kutumika leo ambapo, matumaini ya wengi ilikuwa ni bei za vifurushi kupungua lakini ikawa tofauti.

Sauti yetu imesikika.
 
Kwanza nakupongeza Rais Samia kwa kuwa muumini wa mitandao ya kijamii. Bila shaka malalamiko haya umeyapata huko.

Ombi langu (letu) usiishie kusitisha bei mpya bali pia wachukulie hatua za kisheria waliohusika ikiwa ni pamoja na Waziri husika na wafanyakazi wa TCRA

Ni wa kufukuza hao maana inaonekana hawajielewi kabisa ,mama samia kila siku anasema wao ni wafanyakazi wanawahudumia wananchi hivyo ilitakiwa wasikilize wananchi wanasemaje ,makampuni ya simu kila siku tunaona kwenye taarifa za habari wakitangaza wanapata faida kedekede kwahiyo ilitakiwa wapunguze gharama zao ila wao ndio wanongeza na kina ndungulile na baadhi ya wapuuzi wa tcra wakisupport wizi.

Nasisitiza viongozi wayaondoe vichwani mwao maelekezo ya meko ,kwasasa nchi ipo kwa Mh SSH ,meko alikuwa alitakii mema hili taifa,Mungu ana makusudi yake kumuacha Lissu aliyepigwa risasi 16 mwilini na kunyimwa matibabu na kufukuzwa kazi na kumuondoa JIWE mwenye ulinzi zaidi ya "Jo Baideni" na madakitare kama WOTE.
 
Habari zilizo teka mitandao na nje ya mitandao ni taarifa ya vifurushi vilivyo badilishwa.
Hii ilinilazimu kuandaa uzi maalumu usemao Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya
Kwa namna moja au nyingine nilionekana kama naropoka tu.
Lakini siku ya leo mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA wameliona hilo na kuja na taarifa hizi👇
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Semu Mwakyanjala, amesema matumizi ya bei mpya ya vifurushi yamesitishwa kwa muda.

Hata hivyo, amesema uamuzi huo utahusu vifurushi vya data pekee huku vile vya ujumbe mfupi wa maneno na kupiga zitaendelea kama ilivyotangazwa mapema leo Ijumaa.

“Tumesitisha matumizi ya gharama mpya za vifurushi hadi hapo itakapotangazwa baadaye. Lakini, hili litahusu vifurushi vya data pekee na vile vya sms na kupiga vitaendelea kama kawaida,” amesema Mwakyanjala alipozungumza na Mwananchi kwa njia ya simu dakika chache zilizopita.

Kanuni ndogo za gharama na tozo za vifurushi, utangazaji wa huduma na ofa maalum zilizotungwa na TCRA, zimeanza kutumika leo ambapo, matumaini ya wengi ilikuwa ni bei za vifurushi kupungua lakini ikawa tofauti.

Sauti yetu imesikika.
Sawa
 
Tatizo ni mihemko, hakuna utafiti, mtu anaota ndoto, akiamka anachapa waraka. Nia ya serikali ni kuwaziba watu midomo, bila kujali madhara. Hakuna masomo kupitia internet kwa bei hiyo. Binafsi nilisha amu kununua data basi!

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Walikuwa wanapima upepo tu na hili tulilisema humu.

Mitandao ina nguvu sana!

Dr.Slaa sasa atapongeza uamuzi huu
Dk Slaa si wa kumtilia maanani kwa binadamu aliyekamilika na mwenye akili zake timamu.
Padri, SG wa TEC, Mbunge, Mzinifu, SG wa CHADEMA, Mvunja ndoa za wanandoa, Mwanamageuko, Balozi.
Kesho atasema kweli serikali ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ni serikali inayojali wanyonge!!
Mh. Baba wa Taifa aliwaita wanasiasa wa hivi kuwa ni "red - light district members".
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
255769256878_status_ca51ca5977584ba6b077e30e935b6b59.jpeg
 
Naomba pia walio nioinga waje hapa
Achana nao kiongozi, siku zote huwezi kuungwa mkono/kupendwa na kila mtu,,,

Usione la ajabu,ni ukamilifu wa ubinadamu, hivyo jikubali as long as ulieleza hisia zako juu ya suala hilo, uwepo wao pia sio wa kubezwa, walifanya uzi wako ufuatilie na wengi.

Wasamehe!!
 
Back
Top Bottom