SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ukamuangalie askofu Chidi akijilia kondoo wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukamuangalie askofu Chidi akijilia kondoo wake
Anaweza akajitokeza kupongeza maaana yule hana aibu tangu alipoanza kupigwa na mushumbusiDr Slaa tunakuomba ujitokeze kwa mara nyingine tena kupongeza serikali .
Usaliti ni laana
Ndio mchezo unaofanya waendelee kuabudiwa waonekane kama vile wakombozi kumbe ndio waangamizajiCreate a problem-Solve a problem-Become a Hero.
Serikali ya kiki
Kiendacho kwa mgangaHela zetu tulizopigwa leo nani atatulipa ?
Wote tungekuwa hivi nani angetupongeza kama wewe ulivyo mpongeza huyu?Mkuu kwa mara nyingine niruhusu nikupongeze. Huwa napenda sana style yako ya uandishi ikisindikizwa na reference na facts kutoka vyanzo mbalimbali.
Natamani wana JF wote tungekuwa hivi kuliko kuongea tu rumours bila ushahidi kuback hoja.
Mama yetu mpendwa mh Samia, tafadhali tunakuomba mfukuze huyo waziri Ndungulile kama utaona inakupendeza maana alikusudia kukufitinisha na watanzaniaWa kulaumiwa ni Dr Ndugulile ,hawa wanasiasa ndio wanaifanya serikali ilaumiwe ,wanadhani wanaongoza wananchi wa stone ages 1890 wakati sasa hizi ni kidigital ,ndio maana tulisisita mawaziri wawe wataalam wa eneo husika kama lengo lao ni kumuwakilisha rais,how come Ndugulile atudanganye? Mama samia ilitakiwa amfukuze haraka.
Duh. Afadhali.Ni MD(daktari wa binadamu)
Huyo pimbi inabidi afulumushwe kwenye hicho kitengo kwa vibao hata na mawe ikibidiKatika hili.
Ndungulile's days at the ministry are numbered.
Hivi ndungulile Ni daktari wa falsafa PhD au wa COVID?
Maana baadhi ya PhD za bongo flavour Ni nzuri sana.
Sasa kwanini mambo mengi wanayafanya usiku au nao wanga?Hata Voda ngoma bado iko vilevile,labda wanasubiri saa sita usikuView attachment 1741643
Huyu Dr. Slaa sasa ni diplomat aache matamshi ya kiuana harakati na porojo za kisiasa kama akina Musiba and the lot. Mabalozi ni watumishi wa hadhi ya kimataifa iweje leo Slaa anapata muda wa kujadili vifurushi vya simu? Shame on you dr. Slaa!Walikuwa wanapima upepo tu na hili tulilisema humu.
Mitandao ina nguvu sana!
Dr.Slaa sasa atapongeza uamuzi huu
Muishi kama mashetani😁😁😂😂Fedha za kujenga Chato zilikuwa zinatafutwa . MTU huyu alikuwa WA ajabu Sana mishahara haijaongezwa miaka mitano lakini kila kitu kinapanda. Hivi alitakaje?.
Tutazidisha kelele na Mama kaashaonesha ni msikivu, atasikia sauti zetu.Bado naami hakutakuwa na unafuu hata wakibadilisha tena...
Walichofanya hawa ni kuweka mazingira magumu, halafu baadaye watarekebisha kidogo tu na si kurudi zile bei za awali au kwenda chini zaidi...
Ilikuwa ni april fool kuna muda serikali nayo sometimes ina enjoyNafikiri serikali inafanya mchezo wa "kuiba yenyewe na kukamata mwizi yenyewe"ili ijichukulie credit
Tulimchagua yeye kwenye hatua za wajumbe tukamuacha Bar shi kumbe na yeye Hana torfaut na Bar shit.Huyo pimbi inabidi afulumushwe kwenye hicho kitengo kwa vibao hata na mawe ikibidi
Haiwezekani tukawa na kiongozi mwenye roho mbaya ka' dingi wa kambo tukategemea fair kwenye uongozi wake