Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Waache wajilete jumanne Mama anaamka na nyie mkurugenzi na waziri
Halafu zege halilali.
 
Mkuu kwa mara nyingine niruhusu nikupongeze. Huwa napenda sana style yako ya uandishi ikisindikizwa na reference na facts kutoka vyanzo mbalimbali.

Natamani wana JF wote tungekuwa hivi kuliko kuongea tu rumours bila ushahidi kuback hoja.
Wote tungekuwa hivi nani angetupongeza kama wewe ulivyo mpongeza huyu?
 
Naishukuru sana serikali na Waziri mwenye dhamana ya mawasiliano KWA kupitia TCRA Kwa kuliona Hili la Vifurushi na bei zake za hovyo ambazo zilikuwa zimeanza kutumika Kuanzia leo.

Kwakweli tulikuwa tunaenda kukosesha watu ajira kwani kuna Vijana wengi wamejiajiri kupitia Soko la mawasiliano, kwahiyo KITENDO cha kupandisha gharama ni kumsulubu mtumiaji wa mwisho.

Ahsante Tanzania.
IMG_20210402_215622_587.jpg
 
Bado naami hakutakuwa na unafuu hata wakibadilisha tena...

Walichofanya hawa ni kuweka mazingira magumu, halafu baadaye watarekebisha kidogo tu na si kurudi zile bei za awali au kwenda chini zaidi...
 
Wa kulaumiwa ni Dr Ndugulile ,hawa wanasiasa ndio wanaifanya serikali ilaumiwe ,wanadhani wanaongoza wananchi wa stone ages 1890 wakati sasa hizi ni kidigital ,ndio maana tulisisita mawaziri wawe wataalam wa eneo husika kama lengo lao ni kumuwakilisha rais,how come Ndugulile atudanganye? Mama samia ilitakiwa amfukuze haraka.
Mama yetu mpendwa mh Samia, tafadhali tunakuomba mfukuze huyo waziri Ndungulile kama utaona inakupendeza maana alikusudia kukufitinisha na watanzania
 
Ni MD(daktari wa binadamu)
Duh. Afadhali.
Nilidhani Ni PhD. Frankly speaking Mimi sitasomea PhD as long as Nina uraia wa Tanzania. Maana asilimia kubwa ya wadau wenye PhD wanafanyanga vitu hata mtoto mdogo hawezi kuvifanya.
Mfano. Yule mwenye degree tano aliyefurushwa na wajumbe wa jirani na Tukuyu.
Au yule aliyemuita mwendazake mheshimiwa mungu.
 
Katika hili.
Ndungulile's days at the ministry are numbered.
Hivi ndungulile Ni daktari wa falsafa PhD au wa COVID?
Maana baadhi ya PhD za bongo flavour Ni nzuri sana.
Huyo pimbi inabidi afulumushwe kwenye hicho kitengo kwa vibao hata na mawe ikibidi

Haiwezekani tukawa na kiongozi mwenye roho mbaya ka' dingi wa kambo tukategemea fair kwenye uongozi wake
 
Eeeh bora jamani, maana the future wasn't promising kwakweli. Hivi hii bei mpya ndiyo ile waziri alisema atakuja na solution soon? Voda bando la chuo sh 3000 eti unapewa MB600 tu wakati ilikua ni GB's😒
 
Walikuwa wanapima upepo tu na hili tulilisema humu.

Mitandao ina nguvu sana!

Dr.Slaa sasa atapongeza uamuzi huu
Huyu Dr. Slaa sasa ni diplomat aache matamshi ya kiuana harakati na porojo za kisiasa kama akina Musiba and the lot. Mabalozi ni watumishi wa hadhi ya kimataifa iweje leo Slaa anapata muda wa kujadili vifurushi vya simu? Shame on you dr. Slaa!
 
Fedha za kujenga Chato zilikuwa zinatafutwa . MTU huyu alikuwa WA ajabu Sana mishahara haijaongezwa miaka mitano lakini kila kitu kinapanda. Hivi alitakaje?.
Muishi kama mashetani😁😁😂😂
Bado naami hakutakuwa na unafuu hata wakibadilisha tena...

Walichofanya hawa ni kuweka mazingira magumu, halafu baadaye watarekebisha kidogo tu na si kurudi zile bei za awali au kwenda chini zaidi...
Tutazidisha kelele na Mama kaashaonesha ni msikivu, atasikia sauti zetu.
 
Nafikiri serikali inafanya mchezo wa "kuiba yenyewe na kukamata mwizi yenyewe"ili ijichukulie credit
Ilikuwa ni april fool kuna muda serikali nayo sometimes ina enjoy
 
Huyo pimbi inabidi afulumushwe kwenye hicho kitengo kwa vibao hata na mawe ikibidi

Haiwezekani tukawa na kiongozi mwenye roho mbaya ka' dingi wa kambo tukategemea fair kwenye uongozi wake
Tulimchagua yeye kwenye hatua za wajumbe tukamuacha Bar shi kumbe na yeye Hana torfaut na Bar shit.
 
Back
Top Bottom