King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Samia oyeee.Ndugulile ondoa idea za Magufuli. Magufuli alitaka kupandisha vifurushi ili watu wasiingie mitandao ya jamii,ili wasihabarike. Maana mitandao ya jamii ndo source ya habari. Magufuli kafa. Acheni kufufua idea zake za kijinga.
Duuh basi ndio maana ... kaleta haya mambo hahahaMama Samia, ikikupendeza mtoe Ndugulile, huyu ni Medical Doctor, mtafute tu mzuri wa mawasiliano na teknolojia kae kwenye hiyo wizara
Wasisahau kurudisha 👉NIGHT BUNDLEApo no discussion.....watuache pale pale pa mwanzo zen tusizungumzie tena gharama za bandle.
UlihoooBundle sikuhizi ni muhimu mno, hafu mafuta ya kula waweza kula nchensho, pia cement sio wote twataka kujenge
Hata mi halotel[emoji848]Ilo bando wanapunguza saa ngapi? Mbona bado menu ni gharama zile zile? Nime check vodacom na airtel sijaona madadiliko yeyote.
Kwanza nakupongeza Rais Samia kwa kuwa muumini wa mitandao ya kijamii. Bila shaka malalamiko haya umeyapata huko.
Ombi langu (letu) usiishie kusitisha bei mpya bali pia wachukulie hatua za kisheria waliohusika ikiwa ni pamoja na Waziri husika na wafanyakazi wa TCRA
SawaHabari zilizo teka mitandao na nje ya mitandao ni taarifa ya vifurushi vilivyo badilishwa.
Hii ilinilazimu kuandaa uzi maalumu usemao Tanzania tupaze sauti kupinga mfumo wa vifurushi vipya
Kwa namna moja au nyingine nilionekana kama naropoka tu.
Lakini siku ya leo mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA wameliona hilo na kuja na taarifa hizi👇
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Semu Mwakyanjala, amesema matumizi ya bei mpya ya vifurushi yamesitishwa kwa muda.
Hata hivyo, amesema uamuzi huo utahusu vifurushi vya data pekee huku vile vya ujumbe mfupi wa maneno na kupiga zitaendelea kama ilivyotangazwa mapema leo Ijumaa.
“Tumesitisha matumizi ya gharama mpya za vifurushi hadi hapo itakapotangazwa baadaye. Lakini, hili litahusu vifurushi vya data pekee na vile vya sms na kupiga vitaendelea kama kawaida,” amesema Mwakyanjala alipozungumza na Mwananchi kwa njia ya simu dakika chache zilizopita.
Kanuni ndogo za gharama na tozo za vifurushi, utangazaji wa huduma na ofa maalum zilizotungwa na TCRA, zimeanza kutumika leo ambapo, matumaini ya wengi ilikuwa ni bei za vifurushi kupungua lakini ikawa tofauti.
Sauti yetu imesikika.
Hatutakubali wallahKiendacho kwa mganga
Dk Slaa si wa kumtilia maanani kwa binadamu aliyekamilika na mwenye akili zake timamu.Walikuwa wanapima upepo tu na hili tulilisema humu.
Mitandao ina nguvu sana!
Dr.Slaa sasa atapongeza uamuzi huu
Achana nao kiongozi, siku zote huwezi kuungwa mkono/kupendwa na kila mtu,,,Naomba pia walio nioinga waje hapa
🤣🤣🤣 noma kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1741697
Ukiambiwa ni kutoka kwa kiongozi wa shughuli za kila siku za siri kali, tena ameyasema hayo akiwa ibadani kama tulivyoambiwa chuma kinapiga kazi, utaamini ama utapuuzia!!!Credible Source?