Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Angekuwa fulani angesema tunapoteza muda wa kulima kwenye mitandao hivyo tutwangwe haswaaa na angeungwa mkono. Haya mzee Slaa tayari tangazo lingine limetoka wahi ukapongeze. Yani ukimaliza huu mwezi ukiwa balozi nenda katambike!
Uhakika
 
Unabaki unajiuliza do they do risk assessment kabla ya kufanya maamuzi yao by weighing political leverages of pros and cons.

And if it’s worth pursuing the course of action how do they mitigate those risk with justification.

Even an average Joe knew what was coming with the price hike, there wasn’t a business reason; but political.

For this one nimpongeze mama Samia for swift reaction.

But then tusimsingizie Magufuli he had nothing to do with this.
 
Angekuwepo bwana yule angefurahia sana kupanda kwa gharama maana walifanya hivi kumfurahisha mfalme Alfu Lela Ulela. Jamaa alihakikisha wanatengeneza Regulations ili kubana hela ipatikane maana aliona akiendelea kuzima mitandao atakosa kodi na hakuwa na akili ya kutafuta means mpya za Kodi. Kudos serikali ya Rais Samia Suluhu kwa kusikia kilio chetu watanzania maana hii ilikuwa disaster.
Hata ile ya loan board tulivyolalamika makato kutoka 8-15% mama angewasikiliza tu nadhani ingebaki tu hiyo 8
 
Hata ile ya loan board tulivyolalamika makato kutoka 8-15% mama angewasikiliza tu nadhani ingebaki tu hiyo 8
Wamesema wanaipitia and funny enough this time wanakiri ilikuwa kandamizi sana😃😃 Ila farao alikuwa katili sana
 
Twende mbele turudi nyuma, udaktari wa binadamu na mambo ya tehama vipo mbali mbali saaana... Ni rahisi mtu kuingizwa chaka bila kujua vitu muhimu vya kuhoji.

Hiyo wizara apewe mtu mwenye fani zinazoelekea na tehama au laa basi apewe mtu mwenye exposure na mambo ya tehama ili iende vizuri.

Mfano tu mdogo, sasa hivi vikao vya maofisi vinaendeshwa kwa video conferencing kwa sababu ya corona halafu linatokea jitu linapandisha bei za data bundle. Hivi tumerogwa sisi watanzania?
 
Hii nguvu ya kulalamika pia mngeielekeza kwenye mambo ya sukari, petroli, unga, nauli pindi zinapopanda

ova
 
Kwakweli isitishe tuu.. Hongera kwao kwa kusiliza Sauti za Wenye nchi.

Internet imekua ni miongoni mwa haki za kibinaadamu.. kwahiyo upatikanaji wake uendane na hali za wananchi husika..

Watanzania bado ni Masikini hawajajiweza kiuchumi bado kumudu gharama kali za vifurushi vya mitandao
Mkuu na uko kwenye uchumi mkubwa mawasiliano yamewekwa kwenye huduma za kijamii gharama ni ndogo sana tena sana. Wanalipa internet cheap sana kuliko kwetu. Hii iliwekwa na Marehemu ili kuzibiti watu kupata taarifa. Aliyeondoa huu ujinga hongera nyingi kwake
 
Hayo ndio madhara ya kutokuwa na vyanzo vya Kodi vya kueleweka halafu serikali inatoa ahadi kila siku. Wamenyang'anya wafanyabiashara sasa wamehamia hata sisi wabangaizaji wa bundle. Hii sio sahihi
 
Back
Top Bottom