Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

Naona Eatel inanigomea hapa kila nikitaka kuingia kwa *150*60# au *149*99# inaniandikia Not registerd on network nazan wapo kwene hayo marekebisho yavifurushi virudi kama zamani
Sasa hivi vinapatikana jaribu kucheki network hapo ulipo
 
Mama Rais Samia naomba AIMULIKE TCRA mara moja! Juzi nilimsikia akisema macho yake ni malegevu lakini YANAONA VIZURI SANA....!!!
Kama Tanzania tuna tatizo TCRA....Huyu MKURUGENZI WA TCRA Eng. Kilaba kuna ulazima kupelekewa TAKUKURU wakafanya uchunguzi wa kina!!

Very likely TCRA na MAKAMPUNI YA SIMU WANAFANYA COLLABO KUWAUMIZA WATZ ILI KUPATA UTAJIRI WA HARAKAHARAKA! Bei za mitandao zilizotangazwa 2.4.2021 na TCRA ni zaidi ya UNYONYAJI, UTAPELI NA WIZI WA MCHANA KWEUPE!!
 
Wacha niishushe tu kama kuwasema nyinyi wanafiki wacha ishuke.
Nyinyi MATAGA ni wanafiki na hatutakubali kikundi chenu kimuharibie mama yetu .

Kama mmeona mmekwama hameni kabisa nchi.
Maana mmeshaanza kuomba samahani kwa mliyo watendea watanzania.

Mbona hamkuomba hiyo samahani kwenye utawala wa jiwe?
Naona mmeanza kujua kuwa kila mweupe siyo mzungu.

Tuhame nchi kwani sisi Tundu

John Pombe Joseph Magufuli atabaki kuwa rais bora kuwahi kutokea na atakumbukwa sio na Tanzania tuu bali na dunia tena vizazi na vizazi

Tunamshukuru kwa kutuachia taifa imara, na viongozi bora kabisa akiwamo Rais Samia Suluhu Hassan, makamu wake Dr Phillip Isidory Mpango pamoja na wasaidizi wote wote.

Moto ni uleule

Hutaki mfate Tundu
 
Wacha niishushe tu kama kuwasema nyinyi wanafiki wacha ishuke.
Nyinyi MATAGA ni wanafiki na hatutakubali kikundi chenu kimuharibie mama yetu...
Upepo umebadilika ghafla bin vuu!!! Mama keshasema Jahazi hili lazima ling'oe nanga na lifike mwisho wa safari.

Kina Heri James, Doto James, Bwana Slowslow na mataga wote wajue kila zama na Kitabu chake...!!!

If they won't change now, this term is gonna change them completely whether they like it or not!!?
 
Bei bado hazijabadilishwa na makampuni ya simu yameanza kuona effect ya kupandisha hizo bundle zao...

Kwa takwimu za haraka tu, makampuni mengi yamekutwa na punguzo la matumizi ya data kwa asilimia 10 hadi 15 kwa siku ya mwanzo tu...

Hii bila shaka ni kutokana na watu kukacha kutumia data au kupunguza kutumia data...
 
Upepe umebadilika ghafla bin vuu!!! Mama keshasema Jahazi hili lazima ling'oe nanga na lifike mwisho wa safari.
Kina Heri James, Doto James, Bwana Slowslow na mataga wote wajue kila zama na Kitabu chake...!!!
If they won't change now, this term is gonna change them completely whether they like it or not!!?
Upo sahihi mkuu na tatizo la hawa MATAGA hawataki kukubali ukweli
 
Tuhame nchi kwani sisi Tundu

John Pombe Joseph Magufuli atabaki kuwa rais bora kuwahi kutokea na atakumbukwa sio na Tanzania tuu bali na dunia tena vizazi na vizazi...
Mmeanza kuomba samahani leo hii kwani mbona hamkuomba samahani kipindi kilichopita?

Lazima mtalipa kwa maovu mliyo watendea watanzania mkijiaminisha kwa nyinyi mpo juu ya sheria
 
Bei bado hazijabadilishwa na makampuni ya simu yameanza kuona effect ya kupandisha hizo bundle zao...

Kwa takwimu za haraka tu, makampuni mengi yamekutwa na punguzo la matumizi ya data kwa asilimia 10 hadi 15 kwa siku ya mwanzo tu...

Hii bila shaka ni kutokana na watu kukacha kutumia data au kupunguza kutumia data...

Maumivu sio madogo ila watoa huduma nao wamevurugwa kwelikweli

20210402_234926.jpg
 
Mmeanza kuomba samahani leo hii kwani mbona hamkuomba samahani kipindi kilichopita?

Lazima mtalipa kwa maovu mliyo watendea watanzania mkijiaminisha kwa nyinyi mpo juu ya sheria

Samahani hiyo vepeeee🙄🙄🙄
 
Upo sahihi mkuu na tatizo la hawa MATAGA hawataki kukubali ukweli
Kuna majitu hasa haya Mataga yanafikri nchi inaongozwa kwa AKILI ZA MTU FULANI na siyo Katiba ya JMT.

Wasipoangalia kuna siku za usoni watajikuta mbele ya Pilato wakijibu tuhuma za mauaji ya kimbari. Tanzanians are Watching and God is als watching from a distance....!!!
 
Hilo sitisho la bei mpya za data ni kwa mitandao mingine tu, mbona voda bado wamekomaa na bei mpya za data?
 
Friday April 02 2021

Mwananchi Gazeti

Dar es Salaam. Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye...
Vipi wataturejeshea vile virushi walivyokwisha tuibia toka jana?
 
Kuna majitu hasa haya Mataga yanafikri nchi inaongozwa kwa AKILI ZA MTU FULANI na siyo Katiba ya JMT.

Wasipoangalia kuna siku za usoni watajikuta mbele ya Pilato wakijibu tuhuma za mauaji ya kimbari. Tanzanians are Watching and God is als watching from a distance....!!!
Walisha jiaminisha kuwa wao ndiyo Tanzania na wao ndiyo sheria
 
Mbona huku Voda bei bado ni ile ile, au bado hawajapewa taarifa ya usitishwaji wa bei mpya.

Au mimi ndo sielewi?!

Na je wata refund pesa zetu ambazo tayari tume tumia tayari?

Mwenye ufaham juu ya kinachoendelea tafadhali nijuze.
 
Back
Top Bottom