Sasa hivi vinapatikana jaribu kucheki network hapo ulipoNaona Eatel inanigomea hapa kila nikitaka kuingia kwa *150*60# au *149*99# inaniandikia Not registerd on network nazan wapo kwene hayo marekebisho yavifurushi virudi kama zamani
Wacha niishushe tu kama kuwasema nyinyi wanafiki wacha ishuke.
Nyinyi MATAGA ni wanafiki na hatutakubali kikundi chenu kimuharibie mama yetu .
Kama mmeona mmekwama hameni kabisa nchi.
Maana mmeshaanza kuomba samahani kwa mliyo watendea watanzania.
Mbona hamkuomba hiyo samahani kwenye utawala wa jiwe?
Naona mmeanza kujua kuwa kila mweupe siyo mzungu.
Upepo umebadilika ghafla bin vuu!!! Mama keshasema Jahazi hili lazima ling'oe nanga na lifike mwisho wa safari.Wacha niishushe tu kama kuwasema nyinyi wanafiki wacha ishuke.
Nyinyi MATAGA ni wanafiki na hatutakubali kikundi chenu kimuharibie mama yetu...
Upo sahihi mkuu na tatizo la hawa MATAGA hawataki kukubali ukweliUpepe umebadilika ghafla bin vuu!!! Mama keshasema Jahazi hili lazima ling'oe nanga na lifike mwisho wa safari.
Kina Heri James, Doto James, Bwana Slowslow na mataga wote wajue kila zama na Kitabu chake...!!!
If they won't change now, this term is gonna change them completely whether they like it or not!!?
Mbona nikifuata huo mtililiko sipati hiyo un offer au nikwabaadhi ya lain tu?Airtel *148*60# ingiaaa namba 3 un offer ipo kama kawaida
Mmeanza kuomba samahani leo hii kwani mbona hamkuomba samahani kipindi kilichopita?Tuhame nchi kwani sisi Tundu
John Pombe Joseph Magufuli atabaki kuwa rais bora kuwahi kutokea na atakumbukwa sio na Tanzania tuu bali na dunia tena vizazi na vizazi...
Bei bado hazijabadilishwa na makampuni ya simu yameanza kuona effect ya kupandisha hizo bundle zao...
Kwa takwimu za haraka tu, makampuni mengi yamekutwa na punguzo la matumizi ya data kwa asilimia 10 hadi 15 kwa siku ya mwanzo tu...
Hii bila shaka ni kutokana na watu kukacha kutumia data au kupunguza kutumia data...
Mmeanza kuomba samahani leo hii kwani mbona hamkuomba samahani kipindi kilichopita?
Lazima mtalipa kwa maovu mliyo watendea watanzania mkijiaminisha kwa nyinyi mpo juu ya sheria
Kuna majitu hasa haya Mataga yanafikri nchi inaongozwa kwa AKILI ZA MTU FULANI na siyo Katiba ya JMT.Upo sahihi mkuu na tatizo la hawa MATAGA hawataki kukubali ukweli
Vipi wataturejeshea vile virushi walivyokwisha tuibia toka jana?Friday April 02 2021
Mwananchi Gazeti
Dar es Salaam. Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye...
Walisha jiaminisha kuwa wao ndiyo Tanzania na wao ndiyo sheriaKuna majitu hasa haya Mataga yanafikri nchi inaongozwa kwa AKILI ZA MTU FULANI na siyo Katiba ya JMT.
Wasipoangalia kuna siku za usoni watajikuta mbele ya Pilato wakijibu tuhuma za mauaji ya kimbari. Tanzanians are Watching and God is als watching from a distance....!!!
[emoji3][emoji3][emoji3]unajua uki type kwa smart phone ni shida[emoji4]"sio wote twataka kujenge" [emoji848][emoji848]