Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Kuna vita kubwa sana inayoendelea ndani ya CCM kwenye ulimwengu wa Rohoo.
Unayoyaona haya kwenye ulimwengu wetu wa nyama yameanzia kwenye ulimwengu wa Rohoo.

Spika Ndugai yamemkuta anawasimamisha bungeni Gwajima na wezeka kutetea kauli za Serikali. Leo hii yamemkuta kwake hata jukwaa la kwenda kujitetea hana,

Mwezake Gwajima anaongea na waumini wake kanisani Ndugai hata wabunge wake akiamua kuwaita ili ajitetee watamkataa.

Haya maisha Rafiki wa kweli utamjua kwenye matatizo
 
Tena anawajua vizuri sana!

Aliwajua mapema sana maadui wa nchi hii hata kabla hajawa rais.

Wewe unadhani Shaka kuwa Mwenezi ni bahati mbaya?? Kazi na iendelee........
 
Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Walionacho ndio wenzake kwa taarifa yako. Ndio maana bei za bidhaa karibu zote zimekaa tangu akabidhiwe kijiti
 
Mama amedhihirisha kuwa uanamke wake una athiri u rais wake......
 
That code is a bullshit story that is bound to be inoperable for a while since its clear that it was based on lucky. The reli groups have no influence only that Vatican has.
 
Kwa hulka yake, hawezi kuresign! Kama aliweza kumtandika rungu la kichwa hadharani mwenzake kwenye uchaguzi, hawezi ku-do the needful! he is here to stay otherwise wamng'oe!
Uko sahihi huyu jamaa ni jeuri na hashauriki kabisa... Imagine mtu anawaambia wabunge mimi naweza kukuzuia usiongee humu ndani for 5 yrs na huna cha kunifanya!!
 
Uzuri wa hii vita ni kwamba inazidi kuudhihirishia umma, ikiwemo mihimili ya bunge na mahakama, udhaifu na mapungufu makubwa ya katiba yanayopigiwa kelele. Bunge lilidhani kwamba madai ya katiba ni ya wapinzani pekee but now limeonja joto la jiwe. In the same lime mihimili wa mahakama umeona kilichotokea, na kama wasemavyo wahenga wenzio akinyolewa wewe tia maji...
 

Kuna maneno yaliyotumiwa na hao WanaCCM kumjibu Mh Ndugai ambayo hayana heshima na staha. Mh Rais alitakiwa asiwasifie kijumla jumla angejitenga nayo.

Lakini ndio hivyo siasa hulevya wakati mwingine usipokuwa makini. What goes around comes around iko siku isiyojulikana yatamrudi.

Tukiacha unafiki Mh Rais yeye mwenyewe alimjibu Spika kwa umahiri mkubwa na Gavana wa BoT akaongezea icing sugar kwenye keki ya respond ya Mh Rais.

Hebu jaribu kufikiria maneno ya yule Mzanzibar wa Njombe! Yale yameandaa mazingira hatarishi ya kubomolewa CCM siku za mbeleni yatakapotumiwa kama rejea.
 
Huyu Spika wacha yamkute.......

Wakati anamnyang'anya ubunge wake Tundu Lissu, kwa madai kuwa hajui alipo, wanaccm wenzake walimpigia vigelegele!

Tuone sasa kama wataendelea kum-support!
 
We jamaa acha unafiki, mbona Prof Mkenda alipotukanwa mjinga ulisema boss hakosei? Mbona hukusema Prof ajiuzulu? Weka mambo wazi kuna tatizo hapa nchini.
 
Hakika mkuu.....

Kwa hili linaloendelea ni wazi hata "msutwaji" kimoyo moyo anatamani KATIBA mpya......
 
Tukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.

Hiyo hela inaenda wapi?

Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Tuliza mshono wewe, mama ni lazima awakumbatie walipa kodi wakubwa siasa za kijinga za Ujamaa zimeiua Nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…