Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

Katika siku alizokosea leo katia fora, kiongozi lazima uwe na kifua
 
Nyumbani kwa ndugu wa marehemu hapakaliki, wananyukana😀

Ndo mjue MBOWE SIYO GAIDI, kusingizia watu uongo lazima hiyo dhambi iwatafune na sisi tunasema iwatafune

Mkimalizana na Faru Ndugai mshughulike na Jaji Mkuu wa Michongo, Profesa wa Michongo Ibrahim Juma
 
..ninavyowaelewa wanawake akisema sana ujue amesamehe.

..hivyo naamini kwa dhati Maza amemsamehe Ndugai.
Mkuu naomba nitofautiane na wewe.

Mama ameona liwalo na liwe, "tone" ya maneno yake haioneshi kuwa yupo tayari kusamehe ndiyo maana kalileta hadharani.

Anaeleza kuwa hakutegemea hilo toka kwa "wa kijani" mwenzake na yote ni kisa uchu wa "2025".

There is some serious trouble brewing in paradise aisee.
 
"It is dangerous to be right when the government is wrong" Voltaire

Kiufupi huyu mwanadishi wa kifaransa anajaribu kuonyeasha kuwa ni hatari pale mtu anapokua sahihi halafu serikali inakosea.

Mimi nadhani mtu wetu yuko sahihi inatakiwa akomae nao tu, kwa nafasi yake au kama mwananchi wa kawaida anayo haki ya kuhoji anapoona mambo meusi na ingekua tamu sana kama angekuja kutumia hii kwenye jukwaa lake.

Natamani nione siku moja kila nguzo ifanye kazi yake bila kuingiliwa na nguzo nyingine ili tuone ile check n balance yenyewe
 
Badala ya Rais kutugusa wananchi tunaoumia na mfumuko wa bei, tozo, low wages, under employment, land alienation, yeye anaendekeza malumbano na mkuu mwenzake wa mhimili?
Si mmeambiwa mafuta yamepunguzwa kuanzia shilingi mbili na kuendelea? Umesahau? (haya si mazuri hata kidogo)
 
Hivyo ni unavyowaelewa wewe mkuu.

Urais ni Taasisi, law hiyo unadhani Mama ametoka front na kusema aliyoyasema bila go ahead ya "engine " zake kina Mohamed Mchèngerwa??

Ijueni mitaa wakuu
Kweli anatakiwa ajue kuwa amesimama pale kama Rais ambayo ni taasisi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…