Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Status
Not open for further replies.
Yaani niliumwa ghafla,kila baada ya dakika tano natafuta jf,hola,Bora mmerudi ,hao waliowatoa hewani washindwe na walegee kabisa

Jamani, ndugu zako hao!! sasa JF imewakosea nini???
 
Poleni sana kwa shambulizi hilo, na hongereni sana kwa jitihada zenu mlizo zifanya kuirudisha tena.
 
Daaa, mie nilidhani mmeniweka ban ya ukweli kweli but poleni sana.
 
Polen sana maana mchana nmeangaika mpaka bas had nkafikili labda ni network mbovu kumbe ni hayo majitu yamefanya yao.lakin hawataweza kushinda haki maana siku zote ukweli unaposhindana na uongo ni waz kuwa ukweli utashinda tu! kira la kheri ndugu tuzidi kupeana habari!
 
Watu tumepwaya sana baada ya huu mtandao kuwa attacked... Ni kama kuliwa hakuna chombo kingine cha kutupasha habari
 
Duhh hakuna uwezekano mkawashtaki hao watu wameharibu uchaguzi kwakweli
 
big up! bas wekeni protection kitaalam isije jirudia tena. Wengne sisi ndo source yetu ya habari.
VIVA JF.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom