Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Status
Not open for further replies.
Safi sana Max daah nlikuwa nimeshapungua kabisa daaah
 
Hongera mkuu, MUNGU azidi kukupigania kwa kila kazi ya mikono yako
 
Nimekwazika sana JamiiForums kutokuwa hewani siku muhimu kama ya leo,nilitegemea kupata updates humu but nashkuru mmerejea tena.
 
Poleni sana kwa mahangaiko hayo , changamoto katika jambo lolote haziishi kutokea hjumlishia na jamii yetu isio na upendo! Bila uvumilivu hatuwezi kustahimili, lakini chakujipa moyo siku zote haki ndio yenye kushinda
 
Bado hali sii shwari. Basically no access to posts. Gofya 'New posts' utaambiwa hazipo mpya. Bofya ya zamani utaambiwa hadhi haikuruhusu!
 
Masela Turkish awash dulia coz kila MTU tuliyemuuliza whatsapp VP JF anasema imezimwa tukaelewa tu jamaa washafanya yao
 
JF Team

Poleni sana kwa kazi ngumu. Tunafarijika kuona mmerudi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom