Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Status
Not open for further replies.
Ebanae na sim yangu ndiyo kwanza naichukua kwa fundi kanipiga buku kumi na 5! Big no namfuata arudishe hela yangu! Pole sana wakuu kwa kwa kutujali ss wateja wenu! Mungu awabariki
 
Pa1 sn, Na IT wetu, ahsante kwa kuturudsha hewani
 
Hongera sana maana hapa ndipo tunapata latest news wakati wote!
 
Naona tume ya uchaguzi iko inatisha watu wanaoweka matokeo yaliyokwisha kupatikana eti ni fake na wanavunja sheria ya mtandao. Pamoja na kwamba wanaatach forms halali zilizosainiwa vituoni.
Je, hakuna uwezekano wa kuwatrack hawa walio hack JF na kuwafikisha mbele ya sheria!? Najua wamesababishahasara kubwa kwa jf na watumiaji!
 
Aisee poleni sana,hapo ndio ujue mbinu chafu za hawa jamaa
 
Thank you very much sir, great work returning online at such a pivotal time.
 
Nilikuwa sina amani kabisa.

Afadhali mmerudi tupate matokeo.
 
Uchaguz unawatoa roho hadi wanahack jf kweli wamedata
 
Wakuu wa Jf poleni sana na hongereni sana kwa juhudi zenu kung'amua hao wahuni na kurekebisha mambo..
Mapambano yanaendelea Aluta Continua..
 
Khaa!! Poleni Maxence & co. Mjipange vizuri wakati wa matokeo mtuokoe wadau wenu
 
Naona tume ya uchaguzi iko inatisha watu wanaoweka matokeo yaliyokwisha kupatikana eti ni fake na wanavunja sheria ya mtandao. Pamoja na kwamba wanaatach forms halali zilizosainiwa vituoni.
Je, hakuna uwezekano wa kuwatrack hawa walio hack JF na kuwafikisha mbele ya sheria!? Najua wamesababishahasara kubwa kwa jf na watumiaji!

Wale walokuwa wanaitetea tume na waje hapa sasa waendelee kuitetea.

Hii tume ya uchaguzi kamwe haiwezi kuwa huru.
 
Bado hali sii shwari. Basically no access to posts. Gofya 'New posts' utaambiwa hazipo mpya. Bofya ya zamani utaambiwa hadhi haikuruhusu!

Subiri kama dk 5 au zima sim halafu uwashe! Kuna jamaa nipo nae yangu imekubali ila yake ikawa imekataa kasubiri kama dk 5 ikakubali fresh!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom