Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Status
Not open for further replies.
Hata mimi nilipata tatizo sana jana usiku. lakini mpaka sahizi JF nimeshindwa kuipata kwa kutumia Mozilla firefox. imebidi nitumia chrome nikafanikiwa.. tupo pamoja..
 
Dah, waliofanya hivi vitu sio watu wazuri kabisa.. Yaan wanatukosesha uhondo siku kama ya leo!!
 
Kwa iyo post za zamani zimepotea?
Hapana,

Kila kitu kipo salama hakijaguswa; ni kuzuia upatikanaji wa huduma tu.
Boresheni security
Tulikuwa tumejitahidi kuweka layers za usalama; kawaida huwa attacks zinaenda hadi layer 4 lakini hii ilifika 7.
Post zote za zamani zote zimefutika ama?
Kama nilivyosema awali, kila kitu kipi kama awali na hivyo hakuna kilichopotea
Melo kesho nitakutumia Laki moja
Tunashukuru hata kwa dhamira ya kutuwezesha
Poleni sana ila na nyinyi wapigeni kidogo na wao wakome, wana kamtandao kao kale...
Wachina ma wahindi wametuchezea leo
Hatutalipa baya kwa baya. Tutalipa wema kwa ubaya
Bado hali sii shwari. Basically no access to posts. Gofya 'New posts' utaambiwa hazipo mpya. Bofya ya zamani utaambiwa hadhi haikuruhusu!
Hizi ni bugs za kawaida, tunaomba endeleeni kutufahamisha ziwekwe sawa kwakuwa zinarekebishika
 
JamiiForums ni chombo chetu tunacho kitegemea sana kwa ''breaking news'' kuliko chombo-habari (media) kingine chochote Tanzania iwe vituo vya TV, Redio, Magazeti na simu za mikononi.

Hivyo ''cyber-attack'' a.k.a mashambulizi-mtandao ya aina hii ni moja ya changamoto kwetu wana-Jamiiforums.

Pamoja tutashinda ktk hii haki ya kupata habari.
 
Kwa nini mnajiamini namna hiyo, mpaka mkadhani hakuna mbabe zaidi yenu. Hilo ni funzo. siku nyingine mmeshajua nini cha kufanya.
 
Maxence Melo
Je tuamini vipi kuwa data zetu na information zetu hazijachukuliwa na hawa watu waliowapiga leo maana ni masaa mengi sana watakuwa washasoma IP zetu tayari....
Je mnatuthibishiaje kuwa kila kitu chetu ki salama,
 
Last edited by a moderator:
Huu Mwaka huu kazi ipo
Mwaka 2010 tulienda shwari kabisa izi attack hazikiwepo
 
Poleni sana. Ila kuweni makini maana zile habari za mara kuna watu wamekamata mabox ya kura mara kuna kura fake, hizo ni moja ya thread mlitakiwa mzifute haraka sana. Hata sasa kitu chochote kinachohusiana na matokeo muwe makini mpaka na muweke nyie admin matokeo halisi toka NEC, otherwise you're likely to be attacked again. Amani kwanza, habari za uzushi baadaye.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom