Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Status
Not open for further replies.
Kaka Melo ile live update ya kila mkoa iliwachanganya sana.Mungu mkubwa tumerudi hewani kwa kishindo.Makamuzi yanaendelea.
 
Wale walokuwa wanaitetea tume na waje hapa sasa waendelee kuitetea.

Hii tume ya uchaguzi kamwe haiwezi kuwa huru.
Alafu huyu jamaa anayehojiwa na ITv sijua mkurugenzi anaonyesha wazi kuwa kaletwa pale kutekeleza kitu fulani. Wenye nia nzuri na nchi hii tunaomba sana tena sana Mungu trend za matokeo ziendelee hivi ili waje wajaribu kulazimisha walichotumwa na waijue nguvu ya umma na nguvu ya HAKI.

Eti ile mchana anasema hata kama mtu ana kadi kama jina lake halionekani imekula kwake, anaongeza eti zipo kadi fake kwa hiyo tume haiwezi kujua kama hao wapiga kura ni halisi. Sasa mimi nikajiuliza kama watu wanahisiwa kumiliki kadi fake si wawakamate ili waverify uhalali wake kisha wawashitaki!
Hapa ndio unagundua kuwa Tanzania inazidi kuwa masikini kwa sababu hata baada ya kupoteza muda na mabilion ya pesa kuona kama tutapata mawazo mapya wanosimami yaani hawaelewi hata nukta kuwa huu mchakato nia yake ni kuzaa mwelekeo na mawazo mapya maana stumekwama ...au hawajamsikia hata Magufuli mwenyewe anavyolaani watendaji kama hawa!
 
Pongezi kwenu kwa kuwa mstari wa mbele kutuhudumia wananchi. Mungu ni mwema, kwa wale wenye nia mbaya na JamiiForums washindwe kwa nguvu zote na wanyong'onyee kama mkia wa fisi

Big up uongozi....JamiiForums
 
Duuu poleni Max nilishawalaumu kumbe washenzi wamefanya yao.
 
Dah wametukata sana stimu. SAA hizi mambo yalikuwa yashawekwa adharani. Poleni sana wadau woooote wa jf..
 
Poleni sana, waliosababisha haya wameshindwa na wamelegea.

Nukuu ;

Katiba ya jamhuri ya muungano, bara ya 18 na 21 kifungu cha pili?. ni haki ya kila raia kutoa ama kupokea taarifa na ni wajibu wake pia kuzitumia taarifa hizo kwa maendeleo ya taifa.
 
Looo! imenisikitisha sana, hata hivyo wanazidi kuwapandisha chati! kwa shida ya masaa 7 kuikosa j.f nimeona umuhim wake, yanipasa nijipapase kutoa nilichonacho.
 
Niliwahi kusema hapa, way before uchaguzi kuwa Internet/Server/ sijui nini mwaita wenyewe it itasumbua sana siku ya uchaguzi kwa njama zilizopangwa na hivyo uongozi utafute njia mbadala(blogs) au namna ya kudhibiti hili likafanyiwa utani. Jambo hili liwe fundisho, tuheshimu mawazo ya members no matter how ridiculous may seem kwa wengine!
 
Alafu huyu jamaa anayehojiwa na ITv sijua mkurugenzi anaonyesha wazi kuwa kaletwa pale kutekeleza kitu fulani. Wenye nia nzuri na nchi hii tunaomba sana tena sana Mungu trend za matokeo ziendelee hivi ili waje wajaribu kulazimisha walichotumwa na waijue nguvu ya umma na nguvu ya HAKI.

Eti ile mchana anasema hata kama mtu ana kadi kama jina lake halionekani imekula kwake, anaongeza eti zipo kadi fake kwa hiyo tume haiwezi kujua kama hao wapiga kura ni halisi. Sasa mimi nikajiuliza kama watu wanahisiwa kumiliki kadi fake si wawakamate ili waverify uhalali wake kisha wawashitaki!
Hapa ndio unagundua kuwa Tanzania inazidi kuwa masikini kwa sababu hata baada ya kupoteza muda na mabilion ya pesa kuona kama tutapata mawazo mapya wanosimami yaani hawaelewi hata nukta kuwa huu mchakato nia yake ni kuzaa mwelekeo na mawazo mapya maana stumekwama ...au hawajamsikia hata Magufuli mwenyewe anavyolaani watendaji kama hawa!

I've given up on Tanzania.

Majuha ni wengi mno.

Na ndo maana baada ya miaka 54 ya utawala uliofeli majuha bado wanaendelea kuipigia kura CCM kwa sababu the don't know any better.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom