Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

Status
Not open for further replies.
Nilipagawa kweli. Yaani JF siku ya uchaguzi haiko hewani!
 
mwenyewe nlichanganyikiwa tunaomba mtuanzishie thread maalumu ya ubunge na urais watu watupie matokeo.
 
Nilikuwa katika wakati mgumu sana bora mmerudi hewani
 
Yaan nmebofya hapa km mara mia aisee,polen sana na tunafurah kuwa hatimae mmerud
 
Tunawashukuru sana kwa uvumilivu wenu katika kipindi hiki na tunawatakia kila la heri katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu.

Maxence M. Melo,
K.n.y Uongozi wa JamiiForums

Alafu sikuwahi kujua kama we jamaa (Max) ni kichwa mpaka cku moja nimekusikia unahojiwa BBC juu ya namna mitandao ya kijamii inavyochangia katika kampeni za uchaguzi.... Kweli nilipenda ulivyokuwa unajieleza, na pia nilipenda kiingereza chako. Ungemuazima ung'eng'e wako yule mgombea asiyejua kiinglish vizuri ungemboost sana. Teh teh.

Pole kwa denial of service attacks... Tuko pamoja.
 
ndo maana kila nikilog in ilikua inazingua. dah polen sana.
 
Poleni sana kwa matatizo mliyoyapata na asante sana kwa jitihada zenu kurudi hewani..
 
ndo maana kila niki login ilikua inazingua. dah polen sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…