Baada ya matokeo ya Uchaguzi, kipi kuwa Chama kikuu cha upinzani?

Baada ya matokeo ya Uchaguzi, kipi kuwa Chama kikuu cha upinzani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Matokeo yameonyesha kuwa ACT Wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1.

Hata hivyo kuna uwezekano wabunge wa CHADEMA kuongezeka baada ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu, halikadhalika kwa ACT Wazalendo na CUF.

Je, CHADEMA itaendelea kuwa ni chama kikuu cha upinzani japokuwa kikanuni imeshapoteza sifa ya kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni?

Maendeleo hayana vyama!
 
Tindo nlikuonya utapata stress sana baada ya matokeo! Unaona sasa?

Nimebadilika kipi kabla ya Uchaguzi na sasa? Mara zote michango yangu ndio hii hii. Toka mwanzo nilikuwa nasema hakuna Uchaguzi bali upuuzi kama upuuzi mwingine. Aliyenifanya nipige kura ni Lissu maana alikuwa na hamasa, na hamasa yake imeonekana.
 
Back
Top Bottom