Baada ya matokeo ya Uchaguzi, kipi kuwa Chama kikuu cha upinzani?

Mtu mweusi mjinga ni wewe?
Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwadilifu, hata awe mwanaCCM anayeweza kuukubali huu uwendawazimu ulioendeshwa na Mahera na kusimamiwa na Magufuli, kuwa eti ulikuwa ni uchaguzi.

Nchi imenajisiwa. Mkiwa na viongozi mawakala wa shetani, nchi inawekwa kwenye miliki ya shetani, na matendo ya kishetani yanakuwa yanashangiliwa zaidi kuliko matendo mema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha ujinga mwamba! Kichwa kama makalio ya nyanda yako! Kwa taarifa yako na awamu hii unauma bench hapati uteyuzi hata kama utaenda kutambika huko kwenu Gamboshi!
Kunywa maji ya kutosha....
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwadilifu, hata awe mwanaCCM anayeweza kuukubali huu uwendawazimu ulioendeshwa na Mahera na kusimamiwa na Magufuli, kuwa eti ulikuwa ni uchaguzi.

Nchi imenajisiwa. Mkiwa na viongozi mawakala wa shetani, nchi inawekwa kwenye miliki ya shetani, na matendo ya kishetani yanakuwa yanashangiliwa zaidi kuliko matendo mema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu amemkataa shetani na kazi zake zote katika nchi hii....
 
Chama kikuu cha upinzani kitakuwa ni ACT Wazalendo, kwasababu kule Zanzibar, Dr. Mwinyi atawateulia Wawakilishi 5, na huku bara, japo Watanzania wamewakataa kata kata wapinzani, bila a strong oversight committees, checks and balance ya serikali Bungeni itakosekana kabisa, hivyo, tunamuombea Zitto na Lissu, wateuliwe na JPM ili kusisimua upinzani, ZZK ndio atakuwa KUB, Lissu aendelee kuwa Mnadhimu Mkuu. Mdee ataingia viti maalum Chadema, watapata kama viti 5 hivi.

Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, aliyeshinda ameshinda kwa haki na kihalali, na hii ndio a Tanzanian Democracy is part of African Democracy, nchi inaweza kufanya uchaguzi wa vyama vingi, halafu chama kimoja kikashinda kwa 99%, na bado uchaguzi huo ukawa huru na wa haki, determinant ya ushindi sio votes casted but votes counted, japo kulikuwa na dosari ndogo ndogo, bado JPM na CCM walikuwa washinde tuu, and if there was anything done behind the closed doors, whatever it is, its not the factor of victory but kujazia tuu kiwango cha kishindo cha asilimia za ushindi, ila ushindi wa CCM na Magufuli kwenye uchaguzi Mkuu huu, mimi niliutaja tangu ile tarehe 28 October, 2015, watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii!.

Tulisema humu kila kitu!.
P
Unaposema kulikuwa na dosari ndogo ndogo ndipo unapoonekana nawe kuwa ni sehemu ya mawakala wa shetani Duniani.

Ulitaka kufanyike nini zaidi kuzidi ule ushetani uliofanyika, ndipo useme kulikuwa na dosari kubwa? Sijui kwa nini Watanzania wengi wanapenda kuwa wanafiki. Tunashangilia uovu zaidi kuliko tunavyoshangilia mambo mema. Waliosoma wamekuwa wapumb.avu, wanafiki na wafuasi wakubwa wa waovu, baadhi ya wasiosoma wamekuwa ndio tegemeo oa mabadiliko.

Ndiyo maana siyo jambo la ajabu mtanzania mwenye shahada hata 3, anapata tatizo anaenda kwa mganga wa kienyeji ambaye hajasoma hata darasa moja, ili akampe ufumbuzi wa matatizo yanayomzunguka. Watanzania wengi wanasoma, lakini ni wachache sana wanaoelimika.

Angalia mtu kama Mkandala, Mayala, Bashiru, Polepole, Lipumba, Mahera, Mutungi, Shibuda- wakiongea wana tofauti gani na Musukuma au Kibajaji? Common thing to all ni unafiki. Watu wanashindwa kuwa waadilifu hata kwa nafsi zao wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ule haukuwa Uchaguzi Mkuu ni uchafuzi wa Kodi zetu kuumiza Watu/ kuua Raia na kuwabambikia Kesi. Watanzania (Wapinzani) wenzetu kwa Sababu ya Madaraka ambayo tayari mlikuwa nayo.
Tundu Lissu angekuwa ameshinda usingesema yote hayo.
Haya toa cheo basi
 
Igizo la uchaguzi sasa limefika tamati. Ngoja tuone yatakayojiri.

Tunategemea kuona Tanzania mpya chini ya magufuli na genge lake la uchaguzi bandia.
 
Unaposema kulikuwa na dosari ndogo ndogo ndipo unapoonekana nawe kuwa ni sehemu ya mawakala wa shetani Duniani.

Ulitaka kufanyike nini zaidi kuzidi ule ushetani uliofanyika, ndipo useme kulikuwa na dosari kubwa? Sijui kwa nini Watanzania wengi wanapenda kuwa wanafiki. Tunashangilia uovu zaidi kuliko tunavyoshangilia mambo mema. Waliosoma wamekuwa wapumb.avu, wanafiki na wafuasi wakubwa wa waovu, baadhi ya wasiosoma wamekuwa ndio tegemeo oa mabadiliko.

Ndiyo maana siyo jambo la ajabu mtanzania mwenye shahada hata 3, anapata tatizo anaenda kwa mganga wa kienyeji ambaye hajasoma hata darasa moja, ili akampe ufumbuzi wa matatizo yanayomzunguka. Watanzania wengi wanasoma, lakini ni wachache sana wanaoelimika.

Angalia mtu kama Mkandala, Mayala, Bashiru, Polepole, Lipumba, Mahera, Mutungi, Shibuda- wakiongea wana tofauti gani na Musukuma au Kibajaji? Common thing to all ni unafiki. Watu wanashindwa kuwa waadilifu hata kwa nafsi zao wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee njaa ndio inasumbuwa usiwalaumu.
 
Tatizo wafuasi wa upinzani hamtaki kuambiwa UKWELI.

Huwezi kushinda uchaguzi kwa kushinda mitandaoni mkiporomosha matusi.

Huwezi kuashawishi wapiga kura kwa kampeni za kwenye simu.

Huwezi kushinda uchaguzi bila kuwa na uwakilishi makini mashinani huko ambako CCM imejikita.

Huwezi shinda uchaguzi kwa kupinga pinga hata yale ambayo wananchi waliyaona live kama hatua za msingi za maendeleo kwa taifa.

Huwezi kushinda uchaguzi kwa kutumia wazungu kuishinikiza jumuia ya kimataifa kuinyima misaada misaada nchi yetu na kutulazimisha kuwa lazima uchaguliwe wewe.

Huwezi kushinda uchaguzi kwa kusimama majukwaani na kueneza uchonganishi badala ya SERA za maendeleo ya chama chako jinsi kilivyojiandaa kuwaletea maendeleo wananchi.

Huwezi kushinda uchaguzi kwa kueneza matusi dhidi ya rais halali alieko madarakani tena wakati huo akiwa juu kabisa kwa kupendwa na wananchi kwa jinsi anavyosimamia utendaji wa serikali yao.

Hamuwezi kuwashawishi wapiga kura kuwachagua wakati mkishachaguliwa mnakuwa vinara wa vituko bungeni.

Kwenu nyinyi kila asiyeelewana na sera zenu kazi yenu ni MATUSI tu all the time.

Mlistahili kilichowapata.

CCM walifanya kampeni za kutosha kwa walichovuna na hawakutukana mtu kamwe bali walijikita kwenye sera.

Kaeni na mjitafakari muanzie siasa mashinani muachane na wafuasi bali muwabadili kutoka ufiasi hadi UANACHAMA .

October 28 imepita sasa tuanze KAZI iendelee.

Madaraja,mabwawa ya umeme,SGR nk,sio kwa wana CCM pekee bali watanzania wote.

MAENDELEO HAYANA VYAMA.VIVA TANZANIA.[emoji1241][emoji818][emoji724]
 
Narudia tena, ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sina chembe ya shaka ya nilichosema.
Huu upuuzi mliujua na kwa tamaa zenu za ruzuku mkahitaji muhutest.

Umewapalia mnaanza kutupigia kelele.

Tulieni NGOSHA wanyooshe na kama mlitaraji mtufanye watanzania mitaji ya damu sahauni.

JIPANGENI 2025 msitegemee post za uzushi za kimambi kuwainua dunia ipo kwa kila kiganja cha mtanzania ukiongopa watanzania wanacheka siku ya Uchaguzi ukweli unapita WAJUMBE wanafanya yao.
 
Sio huko tu, bali ni sehemu kibao. Ila maagizo ilikuwa sio kuwatangaza wabunge wengi.
Maagizo gani; yalikuwa maagizo ya simu au ya barua pepe au barua ya karatasi?
 
Chama kikuu cha upinzani kitakuwa ni ACT Wazalendo, kwasababu kule Zanzibar, Dr. Mwinyi atawateulia Wawakilishi 5, na huku bara, japo Watanzania wamewakataa kata kata wapinzani, bila a strong oversight committees, checks and balance ya serikali Bungeni itakosekana kabisa, hivyo, tunamuombea Zitto na Lissu, wateuliwe na JPM ili kusisimua upinzani, ZZK ndio atakuwa KUB, Lissu aendelee kuwa Mnadhimu Mkuu. Mdee ataingia viti maalum Chadema, watapata kama viti 5 hivi.

Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, aliyeshinda ameshinda kwa haki na kihalali, na hii ndio a Tanzanian Democracy is part of African Democracy, nchi inaweza kufanya uchaguzi wa vyama vingi, halafu chama kimoja kikashinda kwa 99%, na bado uchaguzi huo ukawa huru na wa haki, determinant ya ushindi sio votes casted but votes counted, japo kulikuwa na dosari ndogo ndogo, bado JPM na CCM walikuwa washinde tuu, and if there was anything done behind the closed doors, whatever it is, its not the factor of victory but kujazia tuu kiwango cha kishindo cha asilimia za ushindi, ila ushindi wa CCM na Magufuli kwenye uchaguzi Mkuu huu, mimi niliutaja tangu ile tarehe 28 October, 2015, watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii!.

Tulisema humu kila kitu!.
P

Hivi Paskali wawakilishi wa Zanzibar hao watano huwa wanaingia bunge la Jamhuri ya Muungano? Kule si huwa kuna wabunge pia JMT wanaogombea?
 
Hao wawakilishi 5, wanaingia Baraza la Wawakilishi, kutimiza idadi ya wawakilishi 6 wanaohitajika kuunda GNU.
ACT imepata mmoja.
P
 
Back
Top Bottom