johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Acha kudharau zoezi halali na la Kidemokrasia NchiniSio baada ya uchaguzi, sema baada ya maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.
Acha kudharau zoezi halali na la kidemokrasia nchini
Acha kudharau zoezi halali na la kidemokrasia nchini
Tindo nlikuonya utapata stress sana baada ya matokeo! Unaona sasa?Narudia tena, ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sina chembe ya shaka ya nilichosema.
Panic at your own risk. Imeisha hiyoooooooooooNarudia tena, ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sina chembe ya shaka ya nilichosema.
Mtu mweusi mjinga ni wewe?Sio baada ya uchaguzi, sema baada ya maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.
Unahitaji maombeziNarudia tena, ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sina chembe ya shaka ya nilichosema.
Mwaka huu kwa moyo mweupe, nitajiunga, na CHADEMA, ee Mungu nisaidieBaada ya uchaguzi gani?
Mdee amesema ataongoza kambi ya CHADEMA bungeni!CUF labda maana chadema hawatii timu, na ACT hawatii timu. nategemea hata CUF wasiwepo.
Kule Namanyele CHADEMA imeshinda!Sio baada ya uchaguzi, sema baada ya maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.
Tindo nlikuonya utapata stress sana baada ya matokeo! Unaona sasa?
Panic at your own risk. Imeisha hiyooooooooooooo
Unahitaji maombezi