Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwadilifu, hata awe mwanaCCM anayeweza kuukubali huu uwendawazimu ulioendeshwa na Mahera na kusimamiwa na Magufuli, kuwa eti ulikuwa ni uchaguzi.Mtu mweusi mjinga ni wewe?
Kunywa maji ya kutosha....Wacha ujinga mwamba! Kichwa kama makalio ya nyanda yako! Kwa taarifa yako na awamu hii unauma bench hapati uteyuzi hata kama utaenda kutambika huko kwenu Gamboshi!
Mungu amemkataa shetani na kazi zake zote katika nchi hii....Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwadilifu, hata awe mwanaCCM anayeweza kuukubali huu uwendawazimu ulioendeshwa na Mahera na kusimamiwa na Magufuli, kuwa eti ulikuwa ni uchaguzi.
Nchi imenajisiwa. Mkiwa na viongozi mawakala wa shetani, nchi inawekwa kwenye miliki ya shetani, na matendo ya kishetani yanakuwa yanashangiliwa zaidi kuliko matendo mema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposema kulikuwa na dosari ndogo ndogo ndipo unapoonekana nawe kuwa ni sehemu ya mawakala wa shetani Duniani.Chama kikuu cha upinzani kitakuwa ni ACT Wazalendo, kwasababu kule Zanzibar, Dr. Mwinyi atawateulia Wawakilishi 5, na huku bara, japo Watanzania wamewakataa kata kata wapinzani, bila a strong oversight committees, checks and balance ya serikali Bungeni itakosekana kabisa, hivyo, tunamuombea Zitto na Lissu, wateuliwe na JPM ili kusisimua upinzani, ZZK ndio atakuwa KUB, Lissu aendelee kuwa Mnadhimu Mkuu. Mdee ataingia viti maalum Chadema, watapata kama viti 5 hivi.
Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, aliyeshinda ameshinda kwa haki na kihalali, na hii ndio a Tanzanian Democracy is part of African Democracy, nchi inaweza kufanya uchaguzi wa vyama vingi, halafu chama kimoja kikashinda kwa 99%, na bado uchaguzi huo ukawa huru na wa haki, determinant ya ushindi sio votes casted but votes counted, japo kulikuwa na dosari ndogo ndogo, bado JPM na CCM walikuwa washinde tuu, and if there was anything done behind the closed doors, whatever it is, its not the factor of victory but kujazia tuu kiwango cha kishindo cha asilimia za ushindi, ila ushindi wa CCM na Magufuli kwenye uchaguzi Mkuu huu, mimi niliutaja tangu ile tarehe 28 October, 2015, watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii!.
Tulisema humu kila kitu!.
P
Maonyesho au bila maonyesho.Sio baada ya uchaguzi, sema baada ya maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.
Tundu Lissu angekuwa ameshinda usingesema yote hayo.Ule haukuwa Uchaguzi Mkuu ni uchafuzi wa Kodi zetu kuumiza Watu/ kuua Raia na kuwabambikia Kesi. Watanzania (Wapinzani) wenzetu kwa Sababu ya Madaraka ambayo tayari mlikuwa nayo.
CUF wasiwepo, wataenda wapi?CUF labda maana CHADEMA hawatii timu, na ACT hawatii timu. nategemea hata CUF wasiwepo.
Huyo naye si kashindwa uchaguzi huu.Mdee amesema ataongoza kambi ya CHADEMA bungeni!
Mzee njaa ndio inasumbuwa usiwalaumu.Unaposema kulikuwa na dosari ndogo ndogo ndipo unapoonekana nawe kuwa ni sehemu ya mawakala wa shetani Duniani.
Ulitaka kufanyike nini zaidi kuzidi ule ushetani uliofanyika, ndipo useme kulikuwa na dosari kubwa? Sijui kwa nini Watanzania wengi wanapenda kuwa wanafiki. Tunashangilia uovu zaidi kuliko tunavyoshangilia mambo mema. Waliosoma wamekuwa wapumb.avu, wanafiki na wafuasi wakubwa wa waovu, baadhi ya wasiosoma wamekuwa ndio tegemeo oa mabadiliko.
Ndiyo maana siyo jambo la ajabu mtanzania mwenye shahada hata 3, anapata tatizo anaenda kwa mganga wa kienyeji ambaye hajasoma hata darasa moja, ili akampe ufumbuzi wa matatizo yanayomzunguka. Watanzania wengi wanasoma, lakini ni wachache sana wanaoelimika.
Angalia mtu kama Mkandala, Mayala, Bashiru, Polepole, Lipumba, Mahera, Mutungi, Shibuda- wakiongea wana tofauti gani na Musukuma au Kibajaji? Common thing to all ni unafiki. Watu wanashindwa kuwa waadilifu hata kwa nafsi zao wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu upuuzi mliujua na kwa tamaa zenu za ruzuku mkahitaji muhutest.Narudia tena, ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sina chembe ya shaka ya nilichosema.
Viti maalumu!Huyo naye si kashindwa uchaguzi huu.
Sasa bungeni anaendaje?
Maagizo gani; yalikuwa maagizo ya simu au ya barua pepe au barua ya karatasi?Sio huko tu, bali ni sehemu kibao. Ila maagizo ilikuwa sio kuwatangaza wabunge wengi.
Chama kikuu cha upinzani kitakuwa ni ACT Wazalendo, kwasababu kule Zanzibar, Dr. Mwinyi atawateulia Wawakilishi 5, na huku bara, japo Watanzania wamewakataa kata kata wapinzani, bila a strong oversight committees, checks and balance ya serikali Bungeni itakosekana kabisa, hivyo, tunamuombea Zitto na Lissu, wateuliwe na JPM ili kusisimua upinzani, ZZK ndio atakuwa KUB, Lissu aendelee kuwa Mnadhimu Mkuu. Mdee ataingia viti maalum Chadema, watapata kama viti 5 hivi.
Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, aliyeshinda ameshinda kwa haki na kihalali, na hii ndio a Tanzanian Democracy is part of African Democracy, nchi inaweza kufanya uchaguzi wa vyama vingi, halafu chama kimoja kikashinda kwa 99%, na bado uchaguzi huo ukawa huru na wa haki, determinant ya ushindi sio votes casted but votes counted, japo kulikuwa na dosari ndogo ndogo, bado JPM na CCM walikuwa washinde tuu, and if there was anything done behind the closed doors, whatever it is, its not the factor of victory but kujazia tuu kiwango cha kishindo cha asilimia za ushindi, ila ushindi wa CCM na Magufuli kwenye uchaguzi Mkuu huu, mimi niliutaja tangu ile tarehe 28 October, 2015, watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii!.
Tulisema humu kila kitu!.
P
Hao wawakilishi 5, wanaingia Baraza la Wawakilishi, kutimiza idadi ya wawakilishi 6 wanaohitajika kuunda GNU.Hivi Paskali wawakilishi wa Zanzibar hao watano huwa wanaingia bunge la Jamhuri ya Muungano? Kule si huwa kuna wabunge pia JMT wanaogombea?