Baada ya matokeo ya Uchaguzi, kipi kuwa Chama kikuu cha upinzani?


Hatutegemei taarifa za Mange, huo upuuzi tumeuona kwa macho yetu.
 
Uchaguzi upi?
 
Kama dosari gani zilijitokeza
 
Mazoea ya kuishi kwa kukariri.

Angalia katiba inasemaje?
 
Panic at your own risk. Imeisha hiyooooooooooo
Siyo suala la stress, ila tu kusikitishwa. Hata ccm wenye akili sawasawa wamehuzunishwa. Chaguzi zote tangu kuanza vyama vingi, zilikuwa na mapungufu makubwa, lakini angalau zinaweza kuitwa chaguzi. Huu wa Magufuli wala siyo uchaguzi
 
Kama zipi sasa nimeuliza,Mana yake na cc huku mtaani kilasiku tunadiscus dosari za uchaguzi
Sisi wengine ni watu wa mambo makubwa, hivyo kunapotokea dosari ndogo ndogo, huwa hatuzizingatii, hapa nakutajia baadhi
P
 
Kama walishajua wamejipanga kuvuruga uchaguzi kwa wizi wa kura wa kitoto kwanini walitumia gharama kubwa za kujitangaza zikiwemo posters,mabango makubwa,brochures,wasanii na kila aina ya vikolombwezo?
Je hayo si matumizi mabaya ya rasilimali fedha?
Je hizo siyo dharau kwa watanzania?
Je watu watu hao wanawapenda kweli wanyonge (ila mimi siyo mnyonge)?
Je ni kweli wanauchingu na hali duni ya maisha ya mtanzania?
Je kiongozi mwenye kupenda haki na umoja anahubiri utengano?
Je kukinzana kwa mitazamo,milengo na hoja ni dhambi?
Je sawa kwa kiongozi kutaka kuabudiwa na kusujudiwa?

Yote ya yote, KWANI ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?
 
Viti maalum huanzia wabunge wa 5
 
Majina tayari yapo tume na CHADEMA wana nafasi 20 ni kuwateua tu. Hawataweza kukataa kwa sababu muhimu hapa sitataja. Kwa hiyo CHADEMA wataendelea kuwa chama kikuu cha upinzani bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…