chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Jana katika hotuba ya Mbowe, alizuia Siasa za matusi zonazofanywa na wanasiasa waandamizi wa chadema.
Kimsingi, wanachadema hutumia matusi, kejeli na dharau kubwa dhidi ya wanaowapinga, ili wapate uhalali kisiasa. Hii tabia ni sawa na udikteta, ila unajificha tu katika kutukana na kushambulia kwa maneno makali ili kubinya wenye maoni tofauti. Lissu amesikika mara kadhaa akikashifu Rais wa nchi katika suala la filamu ya Royal Tour na kutumia maneno ya kejeli.
Kimsingi watajwa hapo juu wanakabiliwa na umauti wa kisiasa muda si mrefu endapo Mbowe atakaza buti katika muelekeo mpya wa chama.