WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 932
Ni kweli kaka.
towa sababu................kivipi?
Selina kombani ...........hakuna haja ya katiba mpya ....ccm
fredriki welema............hakuna haja ya katiba mpya.....ccm
chikawe......................hakuna haja ya katiba mpya.....ccm
kwanini tusiaamini kwamba ccm ndiyo kikwazo?
Towa sababu................kivipi?
Selina kombani ...........hakuna haja ya katiba mpya ....ccm
Fredriki welema............hakuna haja ya katiba mpya.....ccm
Chikawe......................hakuna haja ya katiba mpya.....ccm
kwanini tusiaamini kwamba ccm ndiyo kikwazo?
Mkuu umemsahau Kinana nae amesema hakuna haja ya katiba mpya
Tena kuna wakati Wasira baada ya kuona kazidiwa hoja kwa kila hali, alianza kupanda jazba, mpaka watazamaji wa mdahalo huo tukaanza kuhofia yasije kutokea yale aliyotaka kuyafanya yule AG wetu, alipotaka 'kumshikisha' adabu yule 2+2, baada ya kuitwa choli!Sio siri kuwa pamoja na kujitahidi sana walau kukabiliana na hoja za Prof Lipumba na mwanasheria nguli Tundu Lissu imeonekana dhahiri namna mzee Wasira alivyo pwaya kwenye kujibu na kukabiliana na hoja.
Ccm wamekuwa na utamaduni wa kukimbia midahalo. Je kwenye hili la leo wanajifunza nini?!
hao walioandaa rasimu ya katiba wasijifanye miungu watu taarifa zao tunazo walifyoahidiwa rasim yao ipite kwa nini wang'ang'anie yapite ya kwao ujinga mtupu
Ni mtazamo wako ila leo umeniudhi kwa kushindwa kuonesha nini anakita katika mabadiliko ya katiba
hawa wahusika wakubwa wa kuvuruga mchakato wa katiba mpya maccm wote wanafikiKweli mkuu
Towa sababu................kivipi?
Selina kombani ...........hakuna haja ya katiba mpya ....ccm
Fredriki welema............hakuna haja ya katiba mpya.....ccm
Chikawe......................h akuna haja ya katiba mpya.....ccm
Kinana..........................hakuna haja ya katiba mpya ....ccm
Kikwete.........................Sio lazima tujiandae kuendelea na ya zamani maana hiii .....ccm
kwanini tusiaamini kwamba ccm ndiyo kikwazo?
baada ya mdahalo uliokusanya itv juu ya wananchi kujua nani anataka kuwazuia watanzania kupata katiba mpya.
Je sasa unaweza kutoa jibu ulilopata?
Karibu....
Naumia kwanini nimesafiri leo na kuukosa hilo kongamano on tv station!
-ee mungu nisamehe kwa dhambi niliyoitenda leo ya kutomshudia ngedere akibanwa na akina lissu,polepole,lipumba na awadh.
Mkuu umemsahau Kinana nae amesema hakuna haja ya katiba mpya