Baada ya Mdahalo: Nani anazuia upatikanaji wa Katiba Mpya?

Baada ya Mdahalo: Nani anazuia upatikanaji wa Katiba Mpya?

Naumia kwanini nimesafiri leo na kuukosa hilo kongamano on tv station!
-ee mungu nisamehe kwa dhambi niliyoitenda leo ya kutomshudia ngedere akibanwa na akina lissu,polepole,lipumba na awadh.
 
Ni kweli kaka.

Polepole amesikia uchungu sana kwa upotoshaji uliyokuwa ukifanywa na Wassira halafu yeye kutokupewa fursa ya kujibu na matokeo yake anapewa muda mchache sana ambao haukutosha kufafanua hata kitu kimoja....Polepole na mwenzake hawakutendewa haki na M/kiti wa mdahalo. Ni wakati sasa Uandaliwe mdahalo kwaajili ya wajumbe wa Tume ya Warioba.
 
towa sababu................kivipi?

Selina kombani ...........hakuna haja ya katiba mpya ....ccm

fredriki welema............hakuna haja ya katiba mpya.....ccm

chikawe......................hakuna haja ya katiba mpya.....ccm

kwanini tusiaamini kwamba ccm ndiyo kikwazo?

mkuu haya ma c.c.m ni mazombi ya karne hii hayana utu kwa watanganyika wala wazanzibari.
Toka lini ngedere akaijua katiba aache kutafuna mahindi ya watu?
 
Anayezuia katiba mpya kwa jina ni ukawa, Anayezuia katiba mpya halisia ni ccm!
 
Towa sababu................kivipi?

Selina kombani ...........hakuna haja ya katiba mpya ....ccm

Fredriki welema............hakuna haja ya katiba mpya.....ccm

Chikawe......................hakuna haja ya katiba mpya.....ccm

kwanini tusiaamini kwamba ccm ndiyo kikwazo?

Mkuu umemsahau Kinana nae amesema hakuna haja ya katiba mpya
 
Mkuu umemsahau Kinana nae amesema hakuna haja ya katiba mpya

Kweli mkuu

Towa sababu................kivipi?

Selina kombani ...........hakuna haja ya katiba mpya ....ccm

Fredriki welema............hakuna haja ya katiba mpya.....ccm

Chikawe......................h akuna haja ya katiba mpya.....ccm

Kinana..........................hakuna haja ya katiba mpya ....ccm

Kikwete.........................Sio lazima tujiandae kuendelea na ya zamani maana hiii .....ccm

kwanini tusiaamini kwamba ccm ndiyo kikwazo?
 
Sio siri kuwa pamoja na kujitahidi sana walau kukabiliana na hoja za Prof Lipumba na mwanasheria nguli Tundu Lissu imeonekana dhahiri namna mzee Wasira alivyo pwaya kwenye kujibu na kukabiliana na hoja.

Ccm wamekuwa na utamaduni wa kukimbia midahalo. Je kwenye hili la leo wanajifunza nini?!
Tena kuna wakati Wasira baada ya kuona kazidiwa hoja kwa kila hali, alianza kupanda jazba, mpaka watazamaji wa mdahalo huo tukaanza kuhofia yasije kutokea yale aliyotaka kuyafanya yule AG wetu, alipotaka 'kumshikisha' adabu yule 2+2, baada ya kuitwa choli!
 
ni ukweli usiopingika ccm hawana nia njema na mchakato wa katiba wanataka waendelee kutawala kwa kuiba kura na kuwadaa wanachi awamu hii nimeshachelewa ccm imeshafikia kikomo hizi laana za kudharau maoni ya wanachi zitawagharimu sana ccm ndo wamepanga njama zote za kuzuia mchakato wa katiba usipatikanane ndo maana hata katibu wa ccm kinana alisema hakuna haja ya kuwa na katiba ccm ni wazi hawataki katiba mpya hawana nia njema kabisa nchi yetu
 
hao walioandaa rasimu ya katiba wasijifanye miungu watu taarifa zao tunazo walifyoahidiwa rasim yao ipite kwa nini wang'ang'anie yapite ya kwao ujinga mtupu

Taarifa zipi hizo na unazo wewe na nani na wamwahidiwa na nani, kama siyo we ni mwongo tuambie na si tumjue mbaya wetu huyo!!??
 
Naunga mkono hoja, pia naomba vyombo vya habari vimtumie ili kutoa elimu kwa umma! Pia aangali kucha zake, haa haa..
 
Kweli mkuu

Towa sababu................kivipi?

Selina kombani ...........hakuna haja ya katiba mpya ....ccm

Fredriki welema............hakuna haja ya katiba mpya.....ccm

Chikawe......................h akuna haja ya katiba mpya.....ccm

Kinana..........................hakuna haja ya katiba mpya ....ccm

Kikwete.........................Sio lazima tujiandae kuendelea na ya zamani maana hiii .....ccm

kwanini tusiaamini kwamba ccm ndiyo kikwazo?
hawa wahusika wakubwa wa kuvuruga mchakato wa katiba mpya maccm wote wanafiki
 
Naumia kwanini nimesafiri leo na kuukosa hilo kongamano on tv station!
-ee mungu nisamehe kwa dhambi niliyoitenda leo ya kutomshudia ngedere akibanwa na akina lissu,polepole,lipumba na awadh.

Pole sana.....Wassira aluaibishwa sana..
 
Mkuu umemsahau Kinana nae amesema hakuna haja ya katiba mpya

Tena huyo jamaa ndiyo alitema pumba zaidi pale alipoingiza propaganda kwenye upatikanaji katiba mpya, pale aliposema kuwa waTz, hawahitaji katiba mpya, badala yake ukiwagawia fulana, khanga na kofia, basi itakuwa poa kabisa, kwani watakuwa weshapata maisha bora, kama walivyoahidiwa na JK!
 
Back
Top Bottom