Sio siri kuwa pamoja na kujitahidi sana walau kukabiliana na hoja za Prof Lipumba na mwanasheria nguli Tundu Lissu imeonekana dhahiri namna mzee Wasira alivyo pwaya kwenye kujibu na kukabiliana na hoja.
Ccm wamekuwa na utamaduni wa kukimbia midahalo. Je kwenye hili la leo wanajifunza nini?!
Ni wahafidhina wa Ccm wanaojiuliza nani atalinda
masilahi waliyoiba?Nani atakuwa Rais? atakayeongoza serikari atawalinda? Serikali ikishakuwa na wizara chache Wasira atakuwa waziri wa wizara ipi?
Ukianza kutegemea dola, polisi, nguvu, vitisho katika kuongoza nchi kwa kawaida ni kwamba uwezo wa kufikiri hupungua katika kiwango kilekile unachotumia nguvu.
Ccm aibu tupu. Leo wameanikwa waaaaa uchi. Wakubali yaishe kwamba wananchi wameamua sio wao.
bora umekiri mwenyewe ccm chama wahuni wenzako ndo kikwazo pekee kinachozuia watanzania tusipate katiba mpya hizi laana zitawamalizakikwazo pekee cha kupatikana katiba mpya ni chama changu CCM
amesema ukweli wale ni makada wa ccmMisukule kwa kujitia uchizi bana! aliyeumbuka pale ni Lisu amefikia hatua ya kuwatukana viongozi wa kidini akidai wamekula rushwa! Tundu hana ueledi.
hilo liko wazi ni ccm ambao hawataki
ukawa aka uchawa aka uchawi
jifunze kuandika upawa ndo nn au umekurupuka kutoka chooni chooni wassira wamemzomea kwa kushindwa kujibu hoja chezea ukawa weweKumbe nyie ndio mliokuwa mnapiga makelelw ndani ya mdahalo na kutaka kuandamana ukumbini! We kama ulitulia na kuona jeshi la mtu mmoja (mh wasira) alivyowakimbiza UPAWA.
amesema ukweli wale ni makada wa ccm
Maandamano lini!
Na mwaka huu lazima wakuroge!
Nataka niandamane na wewe bishoti kesho so?
Niko serious maana bila maandamano bos (mbowe) hatapata mshiko wa wafadhili na dili litakufa, so, maandamano lini!?
Ni wahafidhina wa Ccm wanaojiuliza nani atalinda
masilahi waliyoiba?Nani atakuwa Rais? atakayeongoza serikari atawalinda? Serikali ikishakuwa na wizara chache Wasira atakuwa waziri wa wizara ipi?
jifunze kuandika upawa ndo nn au umekurupuka kutoka chooni chooni wassira wamemzomea kwa kushindwa kujibu hoja chezea ukawa wewe