Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Akili ndogo tu ndo ineaweza ikaandika haya...hao walioandaa rasimu ya katiba wasijifanye miungu watu taarifa zao tunazo walifyoahidiwa rasim yao ipite kwa nini wang'ang'anie yapite ya kwao ujinga mtupu
Lissu leo kawatukana Masheikh na Mapadre na kuwaita kuwa ni makada wa CCM.
Kwa mujibu wa hitimisho la ITV ni kwamba UKAWA ndo wanavuruga mchakato na wametakiwa kurejea bungeni kama wanalitakia mema taifa hiliMkuu ingekuwa na tija kama Mods wangeiweka kama dodoso ili ipigiwe kura... Crystal clear kuwa CCM ndo wanahujumu mchakato wa Katiba mpya na kuwa hawana nia wala dhamira ya kweli ya kuwapatia wananchi katiba mpya itakayojibu hoja nyingi zikiwemo za uvunaji wa Rasilimali za nchi ...
Lissu leo kawatukana Masheikh na Mapadre na kuwaita kuwa ni makada wa CCM.
Wengi wanaropoka tu kuwa CCM ndo inakwamisha mchakato wa katiba lakini hawasemi ni kwa namna gani ccm inakwamisha. Ila kwa ukawa tunajua kutokana na kitendo chao cha kutorudi bungeni
Leo mmeulizwa swali na hakuna aliyejibu ipasavyo. Mmeulizwa kwamba kama mnajua kuwa mpo wengi mnaotaka serikali tatu, mnaogopa nini kuendelea na mchakato wa bungeni ili ikipitishwa kinyume chenu mhamasishe wananchi wakatae rasimu hiyo? Si Lissu wala Lipumba aliyejibu kisawa sawa
Wewe acha uongo kila mtu ameona jinsi Wassira alivyo mwamba na ameonesha uwezo kuzidi hao UKAWA!
Kanuni inayoruhusu bunge na wajumbe wa katiba kurekebisha ,kuongeza ,kuondoa jambo lolote kwenye Rasimu unajua kipo?
hao walioandaa rasimu ya katiba wasijifanye miungu watu taarifa zao tunazo walifyoahidiwa rasim yao ipite kwa nini wang'ang'anie yapite ya kwao ujinga mtupu
we utanufaiki nini na serikali 3 wakati huwajibiki kujitafutia riki. Umemaliza shule na unangojea ajira badala ya kujiajiri na kutwa umo kwenye maandamano ya UKAWA.
We sisi tunajadili katiba wewe unaongelea ccm kwani imekufanya nini!
Niko serious maana bila maandamano bos (mbowe) hatapata mshiko wa wafadhili na dili litakufa, so, maandamano lini!?
UPAWA nimerudia tena. kaangalie kamusi utaona maana yake.
Mume wenu Mbowe ndio kawaweka ndoa ya mitala sio! msililiane wivu mi japo sijaoa lakini siwahitaji mmezidi domo la udaku.
Kwa mwendo huu watanzania tunakila sababu ya kiishtaki serikali ya mapepo wa CCM kwa kutuvurugia vijana wetu wa shule za kata!We unavurugwa huko kwenye ma 0713 yako! mi sitaki w.a.s......nge bana hunielewi!
Duh!! Nape Nnauye, unawezaje kuwaajiri wagonjwa wa akili wawe wanaisemea CCM hapa JF?tundu lissu anasema tupige kura ya kutaka muungano au la? kazaliwa 1968 muungano unamhusu nini?
tundu lissu anasema tupige kura ya kutaka muungano au la? kazaliwa 1968 muungano unamhusu nini?
Towa sababu................kivipi?
Selina kombani ...........hakuna haja ya katiba mpya ....ccm
Fredriki welema............hakuna haja ya katiba mpya.....ccm
Chikawe......................hakuna haja ya katiba mpya.....ccm
kwanini tusiaamini kwamba ccm ndiyo kikwazo?