Baada ya miaka 10 ya mahusiano bila ndoa. P-Didy na Cassie waachana rasmi

Baada ya miaka 10 ya mahusiano bila ndoa. P-Didy na Cassie waachana rasmi

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Baada ya miaka 10 bila UCHUMBA wala NDOA Sean "Diddy" Combs,48, na Cassie,32, wameachana na kubaki marafiki,CASSIE amerudisha juhudi zake Ktk muziki na filamu, DIDDY ni baba wa watoto sita na january mwaka huu alisema alitaka kuwa na watoto wengine wawili na Cassie.
43235364_447501315775767_7086414517811744894_n.jpg
 
didi anatuwakilisha waafrica wengi ndivyo tulivyo,vunja mifupa kama meno bado ipo araah.
 
Duuh! umewaza kama ambavyo nawazaga,hazeeki huyu jamaa.
Anachonikwazaga huyu kaka ni kutokuzeeka.sijui anakula maharage ya wapi,nmezaliwa nimemkuta nakua hadi nazeeka Mzee baba yuko vilevile mnyamwezi wa watu. Pole yao
 
Hata kama pesa ipo ila utaratibu wa kuwa na wanawake zaidi ya mmoja na kila mama ana mtoto wako yani wanawake kumi huwa hainingi akilini,mimi napenda watoto wangu wawe wa mke mmoja ili wapendane kutokana na misingi ya malezi yangu Mungu uzidi kunipa hamu hii nisijeteteleka na vimada
 
Cassie daahh alini bambaga sana na goma lake la LONG WAY TO GO.... duh !!, wameachana ..!! kweli muda ni HAKIMU
Time heals mzee baba,cassie ni mmoja wa wasanii ninae wapenda sana
 
Back
Top Bottom