Sandiego
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 1,288
- 2,075
Umejuaje mkuu mi wamenichelewesha hizo za juuBadooo dk ngapiiii kwaniiiiiiiiView attachment 1053087
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje mkuu mi wamenichelewesha hizo za juuBadooo dk ngapiiii kwaniiiiiiiiView attachment 1053087
KwakweliHahaahahahahahaha.mimi siyo mchawi mkuu stars kiwango hamna
Kwani Lesotho wanasemaje Mkuu?Badooo dk ngapiiii kwaniiiiiiiiView attachment 1053087
Kwani walipokuwa kwao walicheza mpira wa naniSahihi kabisa...kuna ubinadamu unafanyika,lakini Uganda wakisema wacheze ule mpira wao tutakimbiana humu...
Ila anajiharibia kumbuka kocha anafanya sorting ya wachezaji..Ujirani mwema unafanyika hapo Taifa.
Okwi leo kawa garasa kama Juma Ndanda Liuzio
Vitakuwa wapi mi nataka nitangulieMrisho gambo, muige mwenzio basi suala la vinywaji tafadhali sana.
Waoooh kwanza pacha nimefurahi kukuona.
Walitubeba pia..
Nadhani watanzania wengi hawaamini kuwa mpira Tanzania ni bado sana na timu yetu ya Taifa iko kwenye kiwango cha chini sana. Ukingalia kundi walilopo ni aibu kuwa mpaka sasa hivi wanahaingaika kufuzu wakati walitakiwa wawe wamefuzu zamani tena kwa kushika nafasi ya kwanza. Tanzania imepangwa na nchi ambazo kisoka hazitishi na ukishindwa kuzifunga nchi kama hizi basi andika huna timu. Ndiyo inaweza kushinda leo na kufuzu lakini itafuzu kibahati bahati tu na siyo kwa sababu ni wazuri. Wakienda kwenye fainali watarudi mikono mitupu na watu watarudi kwenye square one... kujadili tufanye nini kuinua kiwango (kitu ambacho tumekuwa tunajadili tangu enzi za Mwinyi. Tukubali tu hata kama tukishinda ni bahati kama saa mbovu inavyokuwa sahihi wakati fulani katika siku. Tukishakubali hatujui mpira basi tutaendeleza soka letu kwa vitendo i.e. kuanzia chini kwenye wachezaji wa umri wa miaka saba.Ingekuwa ndio full time,mbona ningekufa kwa raha
Hahahhaahaa kama unapatia patia!!!!!Waoooh kwanza pacha nimefurahi kukuona.
Haukosi kuwa uwanjani wewe na jezi yako ya msalaba[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Kokote, uzuri wa chuga hakuna sehemu isiyofikikaVitakuwa wapi mi nataka nitangulie