Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Hata kama waganda wameuza gamu ila wamekua wanaonyesha hata kwa yule asie jua mpila.....utatowaje pass fupi ukiwa ndani ya box yako wanakimbia kimbia tu wamemiriki mpila 54% ila hawana shoti on goli hata moja.....wanashusha adhi ya mpila wa Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Geti limevunjika
IMG-20190324-WA0015.jpeg
IMG-20190324-WA0014.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa ndio full time,mbona ningekufa kwa raha
Nadhani watanzania wengi hawaamini kuwa mpira Tanzania ni bado sana na timu yetu ya Taifa iko kwenye kiwango cha chini sana. Ukingalia kundi walilopo ni aibu kuwa mpaka sasa hivi wanahaingaika kufuzu wakati walitakiwa wawe wamefuzu zamani tena kwa kushika nafasi ya kwanza. Tanzania imepangwa na nchi ambazo kisoka hazitishi na ukishindwa kuzifunga nchi kama hizi basi andika huna timu. Ndiyo inaweza kushinda leo na kufuzu lakini itafuzu kibahati bahati tu na siyo kwa sababu ni wazuri. Wakienda kwenye fainali watarudi mikono mitupu na watu watarudi kwenye square one... kujadili tufanye nini kuinua kiwango (kitu ambacho tumekuwa tunajadili tangu enzi za Mwinyi. Tukubali tu hata kama tukishinda ni bahati kama saa mbovu inavyokuwa sahihi wakati fulani katika siku. Tukishakubali hatujui mpira basi tutaendeleza soka letu kwa vitendo i.e. kuanzia chini kwenye wachezaji wa umri wa miaka saba.
 
Highlights AFCON match: Tanzania vs Uganda
Full time : Tanzania 3 - 0 Uganda

Source : Haroub Tv
 
Back
Top Bottom