Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haTumpongeze Mbowe basi, au vipi?
Hata ungepewa wewe jukumu lile la kuhamasisha ungeshindwa?Kwa mara ya kwanza amesimamia jambo likawa jambo!!
JPM mwenyewe amesema alicheki mechi nyumbani kwake ksb alikuwa ana wasiwasi na timu. Japo alinishangaza jinsi anavyovaa akiwa nyumbani au kuna shamba ikulu? Wajuzi mtujuze?Nakereka sana kila naposikia kila kiongozi anazungumza kuhusu hii mechi ya Taifa stars na Uganda akinza kwa kumpongeza rais wetu mpendwa Magufuli.
Nachojiuliza Magufuli anapewa pongezi ya kazi gani? Kati ya Magufuli na mashabiki na wachezaji ni nani wa kwanza kupewa pongezi?
Huu ni ujinga wapeni pongezi wachezaji na mashabiki kwa kufika na kucheza vizuri Magufuli hana hata chembe ya pongezi kwenye mchezo huu... Bora hata Makonda alikua kwenye kamati na kiki zake za msimu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa matusi ya nini ? Kwa hilo tusi unaonekana una bonge la stress , pole , chukua maamuzi sahihi , acha kuweweseka.Hivi ulichoandika umekifikira kwanza? Au ofa za Makonda zinaongea? Mbwa ww, Mbowe anahusikaje kwenye mada hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na anaweza kuwaunganisha watu kupitia huu mpira, watz wanapenda sana soka.Hata ungepewa wewe jukumu lile la kuhamasisha ungeshindwa?
Funzo kwa maccm Magufuli akiwa muungwana Taifa linaweza kusimama pamoja kama jana, aache kuwagawa Watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingefungwa wangekuja na ngojera za oooh LAANA, mara mikono yao imejaa damu mara Mungu hadhihakiwi na porojo kibao.Ukisoma post zao kabla ya mechi utaona hawa jamaa ni wa kupuuzwa. Walikua wanashabikia Uganda na Lesotho, Mungu si mange kimanbe wameumbuka balaa .Yeye ndio Mkuu wa Nchi
Kila Jambo likivurugika Kwenye Nchi Lawama anapewa Rais Kwanini likikaa sawa tusimsifu?
Hongera Dkt Magufuli kwa ushindi mfululizo kuanzia wa Simba, Hasana Mwakinyo Na Leo Taifa Stars
Wanafiki wakiongozwa Na Da Mange wameumbuka
Hiyo ni coincidence tu.Mkiwa na kiongozi mkuu ambaye hataki siasa anataka kazi tu ,mambo yote hubadilika kutoka juu mpaka chini ,tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na baadhi ya wasomi hasa Chadema kwamba rais hata akiwa mwizi ,mvivu mzururaji mambo yataenda tu kisa eti urais ni taasisi?
Katika sekta ya michezo asante Taifa stars, Simba na bondia Mwakinyo
Asante kasi ya Rais Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona UNATESEKA?Sifa zote ziende kwa Jpm hutaki kanywe sumu.Hivi ulichoandika umekifikira kwanza? Au ofa za Makonda zinaongea? Mbwa ww, Mbowe anahusikaje kwenye mada hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah ile dressing code ni shida.JPM mwenyewe amesema alicheki mechi nyumbani kwake ksb alikuwa ana wasiwasi na timu. Japo alinishangaza jinsi anavyovaa akiwa nyumbani au kuna shamba ikulu? Wajuzi mtujuze?
lifunga magoli mangapi vile?Ushindi wa goli 3 kwa 0 ilioupata timu ya taifa stars leo dhidi ya Uganda na hivyo kufuzu fainali za kombe la mataifa ya Nchi za African@ AFCON zitakazochezwa Misri mwezi June mwaka huu ni uthibitisho mwingine kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mh Paul Makonda ni hadhina kwa taifa kwenye upangaji na usimamizi wa masuala ya kitaifa.
kwa faida ya wengi ni kwamba Mh Makonda alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya kuiwezesha taifa stars kufuzu AFCON 2019 ambapo pamoja na mambo mengine ilikuwa na jukumu la kushirikiana na Uongozi wa timu kubuni mbinu na mikakati ya kiufundi ndani na nje ya uwanja, bila shaka kwa matokeo yaliyopatikana inahitaji kiburi na husuda na wivu kupinga kwamba hajafanikiwa.
Jukumu lingine kubwa lilikuwa ni kuhamasisha Watanzania kujitokeza kwa wingi uwanjani kuishangilia timu ili kuwapa nguvu na hamasa wachezaji ya kupambana na kushinda. Katika hili la kuhamisha watu kujitokeza tumpe Kongole Makonda kwa niaba ya kamati aliweza kuwaunganisha watu maarufu kutoka tasnia za muziki, filamu, wanamitindo, wanasiasa na kuwaomba kutumia vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kuhamisha wananchi na matokeo yake yameonekana uwanja ulijaa yaani zaidi ya watu 60,000 walikuwepo taifa.
Kwa kurejea baadhi ya mambo mengine mengi ambayo mhe Makonda amewahi kufanya;-
## kufanikisha kama kusaidia Walimu katika Mkoa wa Dar es salaam kupanda daladala bure,
## kufanikisha upatikanaji wa bima za afya @ toto kadi kwa mamia ya watoto ambao wametelekezwa na wazaz.
## kuwapatia viatu bandia walemavu, kuchangia matibabu ya wagonjwa mbalimbali nje ya Nchi.
## kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi zinazohusu ardhi na kuwasaidia wakina mama hasa wajane waliodhurumiwa Nyumba na mashamba.
## kupanua huduma za kijamii kama vile ujenzi wa hospital Temeke, shule za sekondari na Msingi hivyo kuwawezesha wananchi na wanafunzi wengi kupata huduma.
Makonda ni binadamu pamoja na mafanikio hayo Lukuki aliyofanya katika kipindi kifupi ambacho amekuwa mkuu wa Mkoa yaweza kuwa kuna mapungufu ya hapa na pale amefanya lakini hayaondoi ukweli kwamba amejitanabaisha kuwa ni asset kwa taifa letu.