Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe

Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe

Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amekitaka chama hicho kutumia vyombo vyake vya ndani kuchunguza tuhuma za kifedha zinazowakabili baadhi ya viongozi wake, akisema hatua hiyo itasaidia kubaini ukweli, kuwasafisha watakaobainika kutokuwa na hatia na kuimarisha imani ya wanachama kwa uongozi wa chama.

Selasini, aliyerejea CHADEMA Mei 22, 2026 baada ya miaka sita tangu alipohamia NCCR-Mageuzi mwaka 2020, amesema uchunguzi huo unapaswa pia kumhusisha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ili ukweli ubainike kupitia taratibu za chama.

Soma: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Akizungumza hivi karibuni kutokana na tuhuma za ubadhirifu dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, John Heche ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya wanachama na viongozi mbalimbali wa chama hicho ambao wengine wamesimamishwa na uongozi wa CHADEMA kwa kuhoji suala hilo, Selasini amesisitiza kuwa vyama vya upinzani vinapaswa kuwa tofauti na CCM kwa kile alichokiita kuficha mambo. Amedai kuwa upinzani unaikosoa CCM kwa kuficha mambo, hivyo ni lazima wao waoneshe mfano kwa kuwa wawazi zaidi katika taratibu zao.

“Ninachosema tu ni kwamba tumemsikia Katibu Mkuu na kwasababu chama chetu ni chama cha kidemokrasia ni matumaini yangu kwamba hilo jambo litawekwa wazi zaidi kwa maana kwamba chama kina vyombo. Sasa kama kina vyombo ili kuwa-contain wanachama, kuwaleta wanachama pamoja, kuleta ule uaminifu wa pamoja ni vizuri vile vyombo vikafanya kazi yake na kazi ikiwa nzuri maana yake viongozi wanasafishika”, ameeleza Selasini”, ameeleza Selasini.

Hata hivyo, akizungumza na wanahabari Julai 10, 2026, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika alisema kama kuna mwanachama yeyote wa chama hicho ambaye ana taarifa zozote za malalamiko anapaswa kufuata taratibu za kikatiba za chama hicho na Zaidi akaeleza kuwa walikuwa na taarifa kuwa wale ambao wamekuwa wakitoa tuhuma dhidi ya viongozi wamekuwa wakilipwa fedha mpaka milioni mbili kwa lengo la kuchafua viongozi.

Via: Jambo TV

Huyu kama lipumba, anatafuta njia spindle chadema
 
Hi.GT

Nawashauri viongozi wangu wa Chadema. wajikite kufanya kazi na watu wenye mioyo siyo wenye njaa.

Chadema ni maarufu tayari haiitaji mtu yeyote maarufu kujitangaza nawashauri waachane na magarasa hata Halima mdee akirudi leo tupilia mbali.

Joseph selasini anajulikana kaenda NCCR mageuzi kaiangamiza kwa kumfanyia figiisu mbatia. CHADEMA Acheni kurudisha malaya kwenye chama watawacost.
 
Hawakujifunza kwa loasa,sumai,nyalandu wacha wakome kupokea makapi
 
Chama cha matapeli , wapori pori kama Heche hawa ni wa kufuga ng'ombe tu, wakiona pesa wana ushamba yaani unakuta kavaa suti halafu kiatu kama cha kupandia milima..
 
Hawakujifunza kwa loasa,sumai,nyalandu wacha wakome kupokea makapiC
chadema ni washamba , na mbaya zaidi kwa sasa kuna madogo , hao wakina Lissu ,Mnyika , Heche ni watoto sana , Mzee Mbowe anawaangalia
 
Utaunda tume ya uchunguzi kwa propoganda zinazotokea nje kwa akina Yericko na,Habib Mchange na Mchome etc. Chama hakiendeshwi kwa majungu, hata wakati wa Mbowe yalikuwepo yakitokea kwa wabaya wao. Tayari Km Mnyika amekwishaeleza mchezo mchafu unaoendelea. kuunda tume kwa kitu hewa ni kupoteza pesa za chama, Nosense focus on issues/ main agenda
 
Hana moral authority yoyote ya kuhoji uadilifu wa viongozi ambao wamekaa na kukilinda chama kipindi chote ambacho yeye alikuwa huko nje , atutolee ujinga.
 
😄

Wanajulikana mapema kabla jua alijazama
 
FB_IMG_1784019967118.jpg
 
My friends, ladies and gentlemen,
Nilishasema kabla na ninasisitiza tena leo kwamba,

Joseph Selasini Shao,
ndie mwenyekiti mpya wa Chadema taifa baada ya baraza kuu la chadema taifa September 15,2026🐒
Punga nenda kamfariji mama yenu aliyewakataza kutumia jina lake baada ya kushtukiwa mchezo wenu wajinga nyinyi.
 
Ndiomana vyama vya Upinzani ktk Africa havijawai kufanya chochote cha maana tangu vyama vingi vianze Africa👈

Tunakumbuka kwenye Africa Zambia ndio nchi ya kwanza kwa chama cha Upinzani kushinda Uchaguzi👈

na chama Tawala kukubali kushindwa chini ya
mzee Kenneth Kaunda 👈

wakaja wengine Malawi KENYA nk.

Lkn ukiwatazama Wananchi nikama hawajui tofauti kati kile wamekikataa na kile kipo kinatawala kwasasa😇👈

TATIZO KUU kwenye ili ni Wananchi wenyewe 👈

Sababu kwenye Africa wanachagua kwa chuki ya kuelekezwa kutumwa kama pepo tu🤣🤣

Vigezo vya Africa kwenye kuupambania Upinzani kipo uku
1) UKABILA
2) UDINI
Kwao kiongozi bora hutokana na sifa izo 2👈
Wapo tayali kufa kwaajili ya kutimiza ilo lengo!🤠

Kumbe wanasumbuliwa na Chuki tu sio maono ya Uchumi sio maono utawala bora sio Afya bora sio miundombinu bora!!

Manake Africa jamii inagawanyika kwenye Dini na Ukabila
tegemea lile kundi limekukataa kwao watajiona ndio Wananchi wote wao ndio Taifa ‼️

ili kundi wao hawakutaki fanya chochote maendeleo yoyote bado wao wanakwambia hakuna kitu

hataka kama upendi kuiba bado watakwita mwizi nk. 🫡

Sasa kiongozi wao wanaomtaka wao kwa vigezi vile Viwili juu❗️

hatakama ni Mwizi watakwambia wanamsingizia 👈

na ikibidi tutamuongezea pesa kwa kumchangia

Kifupi kwao uyo ni kama
Mtakatifu zambi hana 🤔🤔🤣

Kwaiyo Africa tunasafari
ndefu sana👈

Tumaini kubwa kwa Tanzania ni vyombo vya Usalama vinaelewa vizuri ili tatizo🤔🤔

Vyombo vyote Vipo macho na Imara kutokukubwa na PEPO la kugawanyika kama jamii zetu✅️

Vipo ivyo tangu zamani sio
sasatu👈

Tunakumbuka kipindi cha Benjamin William Mkapa awamu yake ya pili kutoka 2000 - 2005

napo palitokea mgawanyiko wa Jamii mgawanyiko ulikuwa na Sura y Dini Uzanzibar nk.

Lkn vyombo vilisimama imara kuakikisha Taifa linavuka Salama japo Vifo pia vilitokea👈

wapo wengi pia walikamatwa pengine zaidi ya sasa 👈

WATANZANIA Vigezo vyetu vingekuwa usiwe na kashfa yoyote kabla kukuchagua kutokea apo utekelezaji kiuchumi wenye manufaa kwa Tanzania yote!!

Kwangu DINI Kabila ni vyako sawa na majina yako yatabaki yako siku zote👈

mm nakudai utekelezaji kiuchumi sio Dini sio Ukabila wako✍️.
 
Back
Top Bottom