Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe

Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe

Mpumbavu mmoja wa hapo makiidi ,tulikaa nae meza moja kwenye viti virefu yeye ndio alikua mfungua bia kwenye hoja za kawaida kabisa
Bwashee mpk makiidi umefika 😂

Ila selasini hata chadema sjui ilimuamini nn kumpa nafasi ya ubunge
 
Chadema imarisheni intelijensia yetu ili kuepuka mavipenyo ni mengi mno yametuchelewesha sana kwa kukumbatiana na ccm
 
Na Kwann mlikubali arudi chadema? Endeleeni kula matunda yenu mliyoyapokea 😂
 
Huyo mpumbavu selasini ndie alieend kumtoa mbatia nccr
 
Huyu Selasini ni ''project''. Baada ya kuihujumu NCCR akisaidiana na Msajili sasa ana project ya CHADEMA

Selasini anasema CHADEMA wanatakiwa kuingia hayo Maridhiano. Hivi nani amewakataza CCM na Serikali yake kufanya maridhiano na Wananchi? CHADEMA hawakushiriki uchaguzi sasa wanaenda kujadili nini

Pili, maridhiano ni kuhusu nini! na akina nani wanatakiwa kuridhiana. Hakuna anayejibu

Selasini ni mamluki na hili la HECHE lina mikono mingi. Kinachotakiwa ni kumuondoa Heche ili waje vibaraka zipatikane picha zipelekwe commonwealth na Nchi za magharibi

Kitu kimoja CCM na Serikali yake hawakitambui. Hivi ni kwanini CHADEMA wanaungwa mkono na UMMA kwa kukataa maridhiano ? Kuna nini katika Umma ambacho CHADEMA wanapata uungwaji mkono nacho

CCM na Serikali yake waliingia uchaguzi na vyama 16, wakatoa magari na kila msaada. Vyama vikasaini kukubali matokeo. Sasa maridhiano ni ya nini na wale waliosusia uchaguzi?

Kwanini CCM isikae na vyama 16 n kutengeneza maridhiano! au CCM isikae na wanachi.

Why mbinu hizi chafu za kununua watu kuivuruga CHADEMA. Hii mbinu imeshikiwa bango na CCM kiasi kwamba hata kama kweli kuna hicho wanachosema cha pesa, Wananchi wanaona wazi kuna hujuma. Hili limebuma watafute jingine na muda si mshiriki kwao.

JokaKuu
 
Back
Top Bottom