Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe

Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amekitaka chama hicho kutumia vyombo vyake vya ndani kuchunguza tuhuma za kifedha zinazowakabili baadhi ya viongozi wake, akisema hatua hiyo itasaidia kubaini ukweli, kuwasafisha watakaobainika kutokuwa na hatia na kuimarisha imani ya wanachama kwa uongozi wa chama.

Selasini, aliyerejea CHADEMA Mei 22, 2026 baada ya miaka sita tangu alipohamia NCCR-Mageuzi mwaka 2020, amesema uchunguzi huo unapaswa pia kumhusisha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ili ukweli ubainike kupitia taratibu za chama.

Soma: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Akizungumza hivi karibuni kutokana na tuhuma za ubadhirifu dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, John Heche ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya wanachama na viongozi mbalimbali wa chama hicho ambao wengine wamesimamishwa na uongozi wa CHADEMA kwa kuhoji suala hilo, Selasini amesisitiza kuwa vyama vya upinzani vinapaswa kuwa tofauti na CCM kwa kile alichokiita kuficha mambo. Amedai kuwa upinzani unaikosoa CCM kwa kuficha mambo, hivyo ni lazima wao waoneshe mfano kwa kuwa wawazi zaidi katika taratibu zao.

“Ninachosema tu ni kwamba tumemsikia Katibu Mkuu na kwasababu chama chetu ni chama cha kidemokrasia ni matumaini yangu kwamba hilo jambo litawekwa wazi zaidi kwa maana kwamba chama kina vyombo. Sasa kama kina vyombo ili kuwa-contain wanachama, kuwaleta wanachama pamoja, kuleta ule uaminifu wa pamoja ni vizuri vile vyombo vikafanya kazi yake na kazi ikiwa nzuri maana yake viongozi wanasafishika”, ameeleza Selasini”, ameeleza Selasini.

Hata hivyo, akizungumza na wanahabari Julai 10, 2026, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika alisema kama kuna mwanachama yeyote wa chama hicho ambaye ana taarifa zozote za malalamiko anapaswa kufuata taratibu za kikatiba za chama hicho na Zaidi akaeleza kuwa walikuwa na taarifa kuwa wale ambao wamekuwa wakitoa tuhuma dhidi ya viongozi wamekuwa wakilipwa fedha mpaka milioni mbili kwa lengo la kuchafua viongozi.

Via: Jambo TV
Waangalie wasije tapishwa mpunga waliomezeshwa tu?
 
Faida moja kubwa ya kuwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani ni kama Mchungaji au sheikh hata ukibaka hadharani waumini wako watasema ni mipango ya shetani 😀😀 ibada njema inaanzia nyumbani kwani shida nini ukifanywa huo uchunguzi??? Kama mtu hana hatia si itajulikana
Shida ukisha mfungulia shetani mlango lazima anyonye damu yako,kwani mirija ya kunyonyea ni mingi,msajili,mahakamapoliccm,kelele za chawa walionunuliwa,timu ya magisadi na hata wale wahubiri uzalendo feki naAmani huku wameficha panga zao na mirija ya kunyonyea damu.
 
Hivi ni kiasi gani amekula mbona hawasemi, na amekula za chama au michango binafsi
 
Malkia wao wa hawa nyuki anaewatuma... yuko zake Hai ametuliaa anajifanya hajui kinachoendelea...

Kitu kibaya zaidi...ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu!... KATIBA YA CHADEMA INATAKIWA KUFANYIWA MAPITIO,MAREKEBISHO MADOGO...

Vinginevyo....! Labda Wawe na kamati kuu ndani ya kamati kuu! Ndipo wataiweza mishale ya huyu mzee makengeza
 
Kwanini kigezo kisiwe Dini au
Ukabila wa
mgombea👈

Kwanza tuwachunguze Viongozi mwenyewe wa Dini yetu ni Wasafi utakimbiia mbiooo🤠🤠

Mtu kama uyu vipi nimpe nafasi kwenye maamuzi yangu kuazima Akili yake ❗️

hawezi kunishikia Akili yangu Never 🤠

kusali nitaenda mana Dini sio yake ❗️
wala yoyote pale 👈

Kwaiyo nitaenda kuomba mungu wangu Msikitini au Kanisani ✍️
 
Huyu mnamuweza ni mtu wenu ndo mnataka kumpandikiza kwenye uongozi
 
Kaongea kweli sana tatizo wapokeaji ndio janga kubwa[emoji3578]

Nimenda zaidi kwamba Upinzani
Lazima uwe wazi zaidi ikibidi kupita uwazi wa CCM!!

Ndiomana ya chama m'badala

Manake Wananchi wanapaswa kufaamu tofauti kati ya CCM na Chama cha Upinzani kwenye matendo yao[emoji118]

sio jina tu ichi CCM ichi Chadema lkn matendo ni yale yale

Sasa faida gani Watu
wafe kupoteza maisha yako[emoji779]️

kukimbambania chama kumbe nawao ni walewale tu wasaka
utajiri kupitia Siasa[emoji118]
Haya panua pull uingiziwe milion 2
 
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amekitaka chama hicho kutumia vyombo vyake vya ndani kuchunguza tuhuma za kifedha zinazowakabili baadhi ya viongozi wake, akisema hatua hiyo itasaidia kubaini ukweli, kuwasafisha watakaobainika kutokuwa na hatia na kuimarisha imani ya wanachama kwa uongozi wa chama.

Selasini, aliyerejea CHADEMA Mei 22, 2026 baada ya miaka sita tangu alipohamia NCCR-Mageuzi mwaka 2020, amesema uchunguzi huo unapaswa pia kumhusisha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ili ukweli ubainike kupitia taratibu za chama.

Soma: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Akizungumza hivi karibuni kutokana na tuhuma za ubadhirifu dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, John Heche ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya wanachama na viongozi mbalimbali wa chama hicho ambao wengine wamesimamishwa na uongozi wa CHADEMA kwa kuhoji suala hilo, Selasini amesisitiza kuwa vyama vya upinzani vinapaswa kuwa tofauti na CCM kwa kile alichokiita kuficha mambo. Amedai kuwa upinzani unaikosoa CCM kwa kuficha mambo, hivyo ni lazima wao waoneshe mfano kwa kuwa wawazi zaidi katika taratibu zao.

“Ninachosema tu ni kwamba tumemsikia Katibu Mkuu na kwasababu chama chetu ni chama cha kidemokrasia ni matumaini yangu kwamba hilo jambo litawekwa wazi zaidi kwa maana kwamba chama kina vyombo. Sasa kama kina vyombo ili kuwa-contain wanachama, kuwaleta wanachama pamoja, kuleta ule uaminifu wa pamoja ni vizuri vile vyombo vikafanya kazi yake na kazi ikiwa nzuri maana yake viongozi wanasafishika”, ameeleza Selasini”, ameeleza Selasini.

Hata hivyo, akizungumza na wanahabari Julai 10, 2026, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika alisema kama kuna mwanachama yeyote wa chama hicho ambaye ana taarifa zozote za malalamiko anapaswa kufuata taratibu za kikatiba za chama hicho na Zaidi akaeleza kuwa walikuwa na taarifa kuwa wale ambao wamekuwa wakitoa tuhuma dhidi ya viongozi wamekuwa wakilipwa fedha mpaka milioni mbili kwa lengo la kuchafua viongozi.

Via: Jambo TV
Hili ngese huwaga ni kivuruge tu.
 
CHADEMA wanajua kuwa Selasini alikua masaki jana, alikua na nani na kwanini alienda hapo, ni topic ya siku nyingine, muache arukeruke kama maharage, ataiva tu
 
Nyie nyumbu wa chadema kila siku mnalilia uwazi ila ushauri wa jamaa kuwa uchunguzi ufanyike ili ibainike uweli kuwa Heche ni mwizi au siyo mwizi hamtaki mnamkingia kifua kama mtu muadilifu sana na mnatarajia ndo awe kiongozi atakaewapa maisha bora.

Nyumbu nyie kashindwa kumpa maisha bora dereva wake mmoja tu ndo atawapa maisha bora wananchi Million 60+? Heche analala Hotel ya nyota 5 ila dereva wake anakufa akiwa amelala kwenye dangulo la elfu 3 hapo uadilifu uko wapi?
 
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amekitaka chama hicho kutumia vyombo vyake vya ndani kuchunguza tuhuma za kifedha zinazowakabili baadhi ya viongozi wake, akisema hatua hiyo itasaidia kubaini ukweli, kuwasafisha watakaobainika kutokuwa na hatia na kuimarisha imani ya wanachama kwa uongozi wa chama.

Selasini, aliyerejea CHADEMA Mei 22, 2026 baada ya miaka sita tangu alipohamia NCCR-Mageuzi mwaka 2020, amesema uchunguzi huo unapaswa pia kumhusisha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ili ukweli ubainike kupitia taratibu za chama.

Soma pia: Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR na Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Akizungumza hivi karibuni kutokana na tuhuma za ubadhirifu dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, John Heche ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya wanachama na viongozi mbalimbali wa chama hicho ambao wengine wamesimamishwa na uongozi wa CHADEMA kwa kuhoji suala hilo, Selasini amesisitiza kuwa vyama vya upinzani vinapaswa kuwa tofauti na CCM kwa kile alichokiita kuficha mambo. Amedai kuwa upinzani unaikosoa CCM kwa kuficha mambo, hivyo ni lazima wao waoneshe mfano kwa kuwa wawazi zaidi katika taratibu zao.

“Ninachosema tu ni kwamba tumemsikia Katibu Mkuu na kwasababu chama chetu ni chama cha kidemokrasia ni matumaini yangu kwamba hilo jambo litawekwa wazi zaidi kwa maana kwamba chama kina vyombo. Sasa kama kina vyombo ili kuwa-contain wanachama, kuwaleta wanachama pamoja, kuleta ule uaminifu wa pamoja ni vizuri vile vyombo vikafanya kazi yake na kazi ikiwa nzuri maana yake viongozi wanasafishika”, ameeleza Selasini”, ameeleza Selasini.

Hata hivyo, akizungumza na wanahabari Julai 10, 2026, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika alisema kama kuna mwanachama yeyote wa chama hicho ambaye ana taarifa zozote za malalamiko anapaswa kufuata taratibu za kikatiba za chama hicho na Zaidi akaeleza kuwa walikuwa na taarifa kuwa wale ambao wamekuwa wakitoa tuhuma dhidi ya viongozi wamekuwa wakilipwa fedha mpaka milioni mbili kwa lengo la kuchafua viongozi.

Via: Jambo TV
Kila taasisi na hususani chama cha siasa kina taratibu za kushughulikia hoja au migogoro ya ndani ya taasisi...

Joseph Selasini ni mwanachama wa kawaida sana tena mgeni asiye na hata umri wa miezi mitatu ndani ya chama, lakini tayari anaanza kuonesha rangi yake halisi ni kwanini karudi CHADEMA ktk kipindi hiki...

Joseph Selasini amewahi kuwa kiongozi wa ngazi ya juu ndani ya CHADEMA kabla hajafika bei na kununulika mwaka 2020 wakati wa mradi wa John P. Magufuli na Humphrey Polepole wa "KUUNGA JUHUDI ZA UHARIBIFU" akiwa kwenye chama chake kipya NCCR MAGEUZI...

Mirija imekauka huko walikokuwa. Kaamua kurudi tena CHADEMA lakini sasa ni wazi karudi kwa ajili ya mission maalumu ya kutumwa na mawakala wa mauaji ya 29/10. Kauli yake hii inathibitisha hili na ni ushahidi usio na shaka. Anazungumza kama vile hazijui taratibu za chama kushughulikia tuhuma za namna hiyo, anajifanya mjinga wakati anajua kila kitu na kila utaratibu...

Hebu mzee Joseph Selasini acha ujinga na upumbavu huo ili kulinda utu na heshima yako...

Kama una nia njema na CHADEMA, basi kinachotakiwa kufanyika, ni kwa yeye mwenyewe Joseph Selasini kama ana tuhuma hizo kufuata utaratibu kuziwasilisha sambamba na ushahidi wa vielelezo vya tuhuma hizo...

Kama sio yeye Joseph Selasini, labda rafiki zake, basi awashauri hao wenye tuhuma hizo kufuata utaratibu kuziwasilisha katika ngazi husika ya level ya kiongozi husika sambamba na ushahidi wa vielelezo na kwa hakika litashughulikiwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za kikatiba...!!
 
Ukiwa na Baba kama Selasini mimi namkana hapa duniani na mbinguni. Mbona aibu sana hii?
 
Back
Top Bottom