Miaka miwili nyuma tulidanganywa kuwa mbowe ndiye mpinzanzani pekee nchini asiyenunulika.Em Tupe orodha ya ambao hawajalipwa, mana watu wakiwa chadema mnawasifia afu hao hao ghafla wakiwapinga mnaanza kuwaita kwa matusi
Mke wa Mbowe mrembo Erythrocyte alikuwa anampamba Utadhani Mbowe n mungu 😂Miaka miwili nyuma tulidanganywa kuwa mbowe ndiye mpinzanzani pekee nchini asiyenunulika.
Kiongozi wa CHADEMA atuhumiwe na CCM halafu CHADEMA kweli ipoteze muda wake na resources zake zingine kufanya uchunguzi ili iweje?
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amekitaka chama hicho kutumia vyombo vyake vya ndani kuchunguza tuhuma za kifedha zinazowakabili baadhi ya viongozi wake, akisema hatua hiyo itasaidia kubaini ukweli, kuwasafisha watakaobainika kutokuwa na hatia na kuimarisha imani ya wanachama kwa uongozi wa chama.
Selasini, aliyerejea CHADEMA Mei 22, 2026 baada ya miaka sita tangu alipohamia NCCR-Mageuzi mwaka 2020, amesema uchunguzi huo unapaswa pia kumhusisha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ili ukweli ubainike kupitia taratibu za chama.
Soma pia: Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR na Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone
Akizungumza hivi karibuni kutokana na tuhuma za ubadhirifu dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, John Heche ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya wanachama na viongozi mbalimbali wa chama hicho ambao wengine wamesimamishwa na uongozi wa CHADEMA kwa kuhoji suala hilo, Selasini amesisitiza kuwa vyama vya upinzani vinapaswa kuwa tofauti na CCM kwa kile alichokiita kuficha mambo. Amedai kuwa upinzani unaikosoa CCM kwa kuficha mambo, hivyo ni lazima wao waoneshe mfano kwa kuwa wawazi zaidi katika taratibu zao.
“Ninachosema tu ni kwamba tumemsikia Katibu Mkuu na kwasababu chama chetu ni chama cha kidemokrasia ni matumaini yangu kwamba hilo jambo litawekwa wazi zaidi kwa maana kwamba chama kina vyombo. Sasa kama kina vyombo ili kuwa-contain wanachama, kuwaleta wanachama pamoja, kuleta ule uaminifu wa pamoja ni vizuri vile vyombo vikafanya kazi yake na kazi ikiwa nzuri maana yake viongozi wanasafishika”, ameeleza Selasini”, ameeleza Selasini.
Hata hivyo, akizungumza na wanahabari Julai 10, 2026, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika alisema kama kuna mwanachama yeyote wa chama hicho ambaye ana taarifa zozote za malalamiko anapaswa kufuata taratibu za kikatiba za chama hicho na Zaidi akaeleza kuwa walikuwa na taarifa kuwa wale ambao wamekuwa wakitoa tuhuma dhidi ya viongozi wamekuwa wakilipwa fedha mpaka milioni mbili kwa lengo la kuchafua viongozi.
Via: Jambo TV
Mwamba anahusika na huu mkakati.Hata kama Heche kazipiga kweli mbona Mwamba alipozipiga hatukusikia hizi kelele zote?
Huu ni mradi tu unasukwa na muda si mrefu lengo lake litakuwa wazi C& P.
Ni lini chadema haijawahi kaguliwa na ofisi ya CAG? Na kama kuna ubadhirifu unadhani CCM ingewaacha chadema nakwambia kitafutwa siku hiyo hiyo na Heche angeshapewa kesi ya uhujumu uchumi.Faida moja kubwa ya kuwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani ni kama Mchungaji au sheikh hata ukibaka hadharani waumini wako watasema ni mipango ya shetani 😀😀 ibada njema inaanzia nyumbani kwani shida nini ukifanywa huo uchunguzi??? Kama mtu hana hatia si itajulikana
Mwamba hadi leo hajakubali kushindwa na anaamini kuna siku dola itamrudishia kikoba chake.Mwamba anahusika na huu mkakati.
Ni wakati wa uongozi na wanachama kuwa makini sana. Wakishindwa njia hizi wanaweza hata kujaribu nyingine za hatari zaidi.
Hakukosea aliyesema lile ni gaidi.Mwamba hadi leo hajakubali kushindwa na anaamini kuna siku dola itamrudishia kikoba chake.
Hii mbwa inatumika vibaya sana na mfumo, ngoja tuone mwisho wake utakuwaje
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amekitaka chama hicho kutumia vyombo vyake vya ndani kuchunguza tuhuma za kifedha zinazowakabili baadhi ya viongozi wake, akisema hatua hiyo itasaidia kubaini ukweli, kuwasafisha watakaobainika kutokuwa na hatia na kuimarisha imani ya wanachama kwa uongozi wa chama.
Selasini, aliyerejea CHADEMA Mei 22, 2026 baada ya miaka sita tangu alipohamia NCCR-Mageuzi mwaka 2020, amesema uchunguzi huo unapaswa pia kumhusisha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ili ukweli ubainike kupitia taratibu za chama.
Soma pia: Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR na Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone
Akizungumza hivi karibuni kutokana na tuhuma za ubadhirifu dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, John Heche ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya wanachama na viongozi mbalimbali wa chama hicho ambao wengine wamesimamishwa na uongozi wa CHADEMA kwa kuhoji suala hilo, Selasini amesisitiza kuwa vyama vya upinzani vinapaswa kuwa tofauti na CCM kwa kile alichokiita kuficha mambo. Amedai kuwa upinzani unaikosoa CCM kwa kuficha mambo, hivyo ni lazima wao waoneshe mfano kwa kuwa wawazi zaidi katika taratibu zao.
“Ninachosema tu ni kwamba tumemsikia Katibu Mkuu na kwasababu chama chetu ni chama cha kidemokrasia ni matumaini yangu kwamba hilo jambo litawekwa wazi zaidi kwa maana kwamba chama kina vyombo. Sasa kama kina vyombo ili kuwa-contain wanachama, kuwaleta wanachama pamoja, kuleta ule uaminifu wa pamoja ni vizuri vile vyombo vikafanya kazi yake na kazi ikiwa nzuri maana yake viongozi wanasafishika”, ameeleza Selasini”, ameeleza Selasini.
Hata hivyo, akizungumza na wanahabari Julai 10, 2026, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika alisema kama kuna mwanachama yeyote wa chama hicho ambaye ana taarifa zozote za malalamiko anapaswa kufuata taratibu za kikatiba za chama hicho na Zaidi akaeleza kuwa walikuwa na taarifa kuwa wale ambao wamekuwa wakitoa tuhuma dhidi ya viongozi wamekuwa wakilipwa fedha mpaka milioni mbili kwa lengo la kuchafua viongozi.
Via: Jambo TV
Umemsikilza Katibu Mkuu? Uwazi gani zaidi ya ule?Kaongea kweli sana tatizo wapokeaji ndio janga kubwa✍️
Nimependa zaidi kwamba Upinzani
Lazima uwe wazi zaidi ikibidi kupita uwazi wa CCM!!
Ndiomana ya chama m'badala
Manake Wananchi wanapaswa kufaamu tofauti kati ya CCM!
na Chama cha Upinzani kwenye matendo yao👈
sio jina tu ichi CCM ichi Chadema lkn matendo ni yale yale
Sasa faida gani Watu
wafe kupoteza maisha yako❗️
kukipambania chama kumbe nawao ni walewale tu wasaka
utajiri kupitia Siasa👈
Anakimiss sana kikoba chake.Hakukosea aliyesema lile ni gaidi.
'Fumigation' inatakiwa haraka huku kwenye chanzo cha matatizo mengi.Milioni mbili mbili za Abduli zinawatoa watu ufahamu sana.
Hao kina Selasini,Msigwa na mamluki wengine wanaorejea kutoka Chaumma watawavuruga Chadema.
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amekitaka chama hicho kutumia vyombo vyake vya ndani kuchunguza tuhuma za kifedha zinazowakabili baadhi ya viongozi wake, akisema hatua hiyo itasaidia kubaini ukweli, kuwasafisha watakaobainika kutokuwa na hatia na kuimarisha imani ya wanachama kwa uongozi wa chama.
Selasini, aliyerejea CHADEMA Mei 22, 2026 baada ya miaka sita tangu alipohamia NCCR-Mageuzi mwaka 2020, amesema uchunguzi huo unapaswa pia kumhusisha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ili ukweli ubainike kupitia taratibu za chama.
Soma pia: Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR na Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone
Akizungumza hivi karibuni kutokana na tuhuma za ubadhirifu dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, John Heche ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya wanachama na viongozi mbalimbali wa chama hicho ambao wengine wamesimamishwa na uongozi wa CHADEMA kwa kuhoji suala hilo, Selasini amesisitiza kuwa vyama vya upinzani vinapaswa kuwa tofauti na CCM kwa kile alichokiita kuficha mambo. Amedai kuwa upinzani unaikosoa CCM kwa kuficha mambo, hivyo ni lazima wao waoneshe mfano kwa kuwa wawazi zaidi katika taratibu zao.
“Ninachosema tu ni kwamba tumemsikia Katibu Mkuu na kwasababu chama chetu ni chama cha kidemokrasia ni matumaini yangu kwamba hilo jambo litawekwa wazi zaidi kwa maana kwamba chama kina vyombo. Sasa kama kina vyombo ili kuwa-contain wanachama, kuwaleta wanachama pamoja, kuleta ule uaminifu wa pamoja ni vizuri vile vyombo vikafanya kazi yake na kazi ikiwa nzuri maana yake viongozi wanasafishika”, ameeleza Selasini”, ameeleza Selasini.
Hata hivyo, akizungumza na wanahabari Julai 10, 2026, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika alisema kama kuna mwanachama yeyote wa chama hicho ambaye ana taarifa zozote za malalamiko anapaswa kufuata taratibu za kikatiba za chama hicho na Zaidi akaeleza kuwa walikuwa na taarifa kuwa wale ambao wamekuwa wakitoa tuhuma dhidi ya viongozi wamekuwa wakilipwa fedha mpaka milioni mbili kwa lengo la kuchafua viongozi.
Via: Jambo TV
Ikipita siku mbili huyu ndezi hawajamtimua watawavunja moyo watu wanaoiunga mkono Chadema.'Fumigation' inatakiwa haraka huku kwenye chanzo cha matatizo mengi.
Hao tulisema muda mrefu wapokelewe lakini wasihusishwe kwenye mipango yoyote ya chama.Hao kina Selasini,Msigwa na mamluki wengine wanaorejea kutoka Chaumma watawavuruga Chadema.
zitto junior Tindo
Wafuate tu taratibu za kichama zilizopo, na waimarishe palipo na udhaifu katika eneo hili.Ikipita siku mbili huyu ndezi hawajamtimua watawavunja moyo watu wanaoiunga mkono Chadema.
Huyu Selasini kapokelewa, na "hajahusishwa na mipango yoyote ya chama", lakini hilo halimzuii kufanya uchafu wake akitumia uanachama wake.Hao tulisema muda mrefu wapokelewe lakini wasihusishwe kwenye mipango yoyote ya chama.
hatujawahi kuwa na mrombo mjinga kama huyu selasini shenzi sanaKama huyo sela sini ni hewa kabisa cc Monetary doctor