Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe

Em Tupe orodha ya ambao hawajalipwa, mana watu wakiwa chadema mnawasifia afu hao hao ghafla wakiwapinga mnaanza kuwaita kwa matusi
Miaka miwili nyuma tulidanganywa kuwa mbowe ndiye mpinzanzani pekee nchini asiyenunulika.
 
Hata kama Heche kazipiga kweli mbona Mwamba alipozipiga hatukusikia hizi kelele zote?

CDM ishapata hadi hati za ukaguzi zenye mashaka kutoka kwa CAG na hatukuwasikia hawa watu!

Sasa hivi ndiyo wana uchungu sana na pesa za chama?

Huu ni mradi tu unasukwa na muda si mrefu lengo lake litakuwa wazi C& P.
 
Kiongozi wa CHADEMA atuhumiwe na CCM halafu CHADEMA kweli ipoteze muda wake na resources zake zingine kufanya uchunguzi ili iweje?
 
Hata kama Heche kazipiga kweli mbona Mwamba alipozipiga hatukusikia hizi kelele zote?

Huu ni mradi tu unasukwa na muda si mrefu lengo lake litakuwa wazi C& P.
Mwamba anahusika na huu mkakati.

Ni wakati wa uongozi na wanachama kuwa makini sana. Wakishindwa njia hizi wanaweza hata kujaribu nyingine za hatari zaidi.
 
Ni lini chadema haijawahi kaguliwa na ofisi ya CAG? Na kama kuna ubadhirifu unadhani CCM ingewaacha chadema nakwambia kitafutwa siku hiyo hiyo na Heche angeshapewa kesi ya uhujumu uchumi.
 
Mwamba anahusika na huu mkakati.

Ni wakati wa uongozi na wanachama kuwa makini sana. Wakishindwa njia hizi wanaweza hata kujaribu nyingine za hatari zaidi.
Mwamba hadi leo hajakubali kushindwa na anaamini kuna siku dola itamrudishia kikoba chake.
 
Hii mbwa inatumika vibaya sana na mfumo, ngoja tuone mwisho wake utakuwaje
 
Umemsikilza Katibu Mkuu? Uwazi gani zaidi ya ule?
 
Hao kina Selasini,Msigwa na mamluki wengine wanaorejea kutoka Chaumma watawavuruga Chadema.

zitto junior Tindo
 
Ikipita siku mbili huyu ndezi hawajamtimua watawavunja moyo watu wanaoiunga mkono Chadema.
Wafuate tu taratibu za kichama zilizopo, na waimarishe palipo na udhaifu katika eneo hili.
Ni wazi kabisa kuna tatizo kwenye hili la uanachama wa CHADEMA.

Ni kweli kabisa kwamba mambo ya namna hii yanawakatisha wanachama wenye 'commitment' na chama.
 
Hao tulisema muda mrefu wapokelewe lakini wasihusishwe kwenye mipango yoyote ya chama.
Huyu Selasini kapokelewa, na "hajahusishwa na mipango yoyote ya chama", lakini hilo halimzuii kufanya uchafu wake akitumia uanachama wake.

Hawa wanaorudi ndani ya chama toka nje, ni muhimu kabisa wapewe masharti mahsusi, ambayo wakiyakiuka wanajuwa matokeo yake ni kuondolewa moja kwa moja ndani ya chama.
Hatua hizi ni lazima ziainishwe waziwazi toka mwanzo na ziwe rasmi ndani ya chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…