OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kuhemea ni kununua mahitaji ya Nyumbani,yani shopping.kuhemea ndio nini?
Watanzania wengi ni wanafki, kumwambia mtu ukweli mbele ya sura yake hatuwezi tunaishia kumchekeaKama walijuchangia basi huna budi kufanya hivyo. Ule mchango ni deni.
Kama hawakuchanga na wala huna mpango huo hapo baadae ukioa, basi waambie tu ukweli.
Kuja kulalamika jukwaani wakati ungeweza tu kuandika 'Ndugu Mwanaharusi, acha hela yangu ipoe. Bado ni ya moto'.
Wewe unaweza kumface mtu kumwambia kama hivyo rafiki?Watanzania wengi ni wanafki, kumwambia mtu ukweli mbele ya sura yake hatuwezi tunaishia kumchekea
Nguvu tunamaliza kushusha uzi au kumsengenya pembeni
Mtu hawezi kukupigia simu kudai mchango kama aukutoa ahadiWewe unaweza kumface mtu kumwambia kama hivyo rafiki?
Tujifunze kusema HAPANA. Wanaume tunalaani wanawake wasioweza kukataa anamvulia yoyote ila unakuta kwenye sekta yetu ni hivyo hivyo, huwezi kukataa ukasema "SICHANGI" unatoa miahadi inayokuumiza.Watanzania wengi ni wanafki, kumwambia mtu ukweli mbele ya sura yake hatuwezi tunaishia kumchekea
Nguvu tunamaliza kushusha uzi au kumsengenya pembeni
Ushawahi kuletewa kadi ya mchango wa harusi au sherehe yoyote ile ya kuchangia??..Mtu hawezi kukupigia simu kudai mchango kama aukutoa ahadi
Ahadi ni deni.
Asili ya hili neno ni wapi?Kuhemea ni kununua mahitaji ya Nyumbani,yani shopping.