Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Mi nilishaacha kuchangia harusi na nikitoa basi isizidizi elfu 10. Unachangiaje watu kwenye starehe zao? Bora hata uchangie matibabu kwa mgonjwa au ada kwa mwanafunziWenye maharusi tupumzisheni jamani, wekeni bajeti kulingana na uwezo wenu sio kutegemea mishahara yetu