Mi nilishaacha kuchangia harusi na nikitoa basi isizidizi elfu 10. Unachangiaje watu kwenye starehe zao? Bora hata uchangie matibabu kwa mgonjwa au ada kwa mwanafunziWenye maharusi tupumzisheni jamani, wekeni bajeti kulingana na uwezo wenu sio kutegemea mishahara yetu
Changia mkuu. Kutoa ni moyo kujumrisha ni Figo chagua mojaHalafu wakishaoa wanaanza kutuambia sisi tuliowachangia kua Nikifa MkeWangu Asiolewe
Mtu hawezi kukupigia simu kudai mchango kama aukutoa ahadi
Ahadi ni de
Ni mambo ya HOVYOO mnoo...Daaah,
Inakata stimu kwa kweli. Yaani hata mama sijamrushia muamala. Yaani hata kuhemea bado napotezea ili mshahara upoe kwanza.
Yaani hata hela haijampumzika kwenye akaunti. Yaani hata mwenyewe sijajipa pole na tulizo la nafsi.
Wenye maharusi tupumzisheni jamani, wekeni bajeti kulingana na uwezo wenu sio kutegemea mishahara yetu
Ya kwako Guede msijisumbue kuniletea kadi. Nitapiga niueMtu hawezi kukupigia simu kudai mchango kama aukutoa ahadi
Ahadi ni deni.
Mbona ndo nilikua nakutumia kadi pmπYa kwako Guede msijisumbue kuniletea kadi. Nitapiga niue
Sasa nishakutahadharisha. Ishia huko huko.Mbona ndo nilikua nakutumia kadi pmπ
Mkuu kwahiyo ukichangia una jimilikisha mke wangu?Halafu wakishaoa wanaanza kutuambia sisi tuliowachangia kua Nikifa MkeWangu Asiolewe
kwa nini ukifa tusimchukue?Mkuu kwahiyo ukichangia una jimilikisha mke wangu?
ππππDaaah,
Inakata stimu kwa kweli. Yaani hata mama sijamrushia muamala. Yaani hata kuhemea bado napotezea ili mshahara upoe kwanza.
Yaani hata hela haijampumzika kwenye akaunti. Yaani hata mwenyewe sijajipa pole na tulizo la nafsi.
Wenye maharusi tupumzisheni jamani, wekeni bajeti kulingana na uwezo wenu sio kutegemea mishahara yetu
πππWanadai Tena ukitoa ahadi ndio utakoma mm walikuwa wananitumis sms Kila alhamiss πππUshawahi kuletewa kadi ya mchango wa harusi au sherehe yoyote ile ya kuchangia??..
Achana na vi bday party vya kichuochuo au shuleni
Kama huna Imani unaweza kuwalamba block ππ
Ha haaanapotezea ili mshahara upoe kwanza
Utakuta mtu umemuahidi tare20 nakupa, subiri hizo simu za kuanzia tarehe18 kukumbushaπππππWanadai Tena ukitoa ahadi ndio utakoma mm walikuwa wananitumis sms Kila alhamiss πππ