05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,650
Nanukuu nilichojifunza kwenye interview ya mzee BUTIK nachangany ana zakwangu.
Hebu piga picha ya kina unaposoma uzi huu, piga picha ya kina ambacho nchi yetu inazidi kudidimia ktk misingi ya demokrasia na namna nchi inavyoendeshwa kiujumla.
Kwanza niwasalimu Salaam the learned ones and dear comrades I general.
Sina mengi ya kusema kama utangulizi lakini mwanzo kabisa wa uzi wangu nataka kuweka ktk kumbukumbu na utambuzi kuwa: <baada ya myaka mitano tutakuwa mikononi mwa wahuni, wauaji, watekaji na mafisadi wa kubwa wa nchi hii kuliko ilivyowahi kutokea hapo mwanzo.>
Kwa influence ya wahuni Viongozi wetu wa mbogamboga wanaenda kuanzisha hujuma za jumla ndani ya taifa teule, japo wao wanadhani wanatengeneza mazingira ya uchaguzi ya october 2025, lakini hapana; mambo haya yanayobinuliwa binuliwa yanaenda si tu kutanua mwanya wa wezi, vibaka na wahuni ndani ya serikali na ndani ya chama bali yanaenda kutengeneza mrango wa wao kuingia na kuwapa nafasi ya kutawala na kushika hatamu mazima.
Baada ya myaka kadhaa, itakuja kuwa ndo utaratibu maalum watu kuonewa na kubagazwa ikiwa tu wataikosoa serikali au kuihoji, baada ya kitambo kifupi itaja kuwa hiyo ndo desturi yetu na kawaida yetu.
Watanzania si tu wavivu WA kuchukua hatua bali hatujishughurishi hata kukemea ipasavyo, utatukuta tunashqbikia NRNE lakini mapema sana tunayumbia kwenye issue zingine zisizo na msingi.
Sasa tuambizane uchaguzi wa October2025 tunaenda kutiki nini kama si umbumbumbu ??
Wahuni daima hulazimisha tuendelee kuwa mbumbumbu ili waendelee na ulaji lakini sasa wanalazimosha tuwe waoga ili wakalie kiti mazima.
Okay tuseme tunakubari juhudi zilizo onyeshwa hadi Leo bas
KWANINI WAKATAE KUFANYA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI HATA NDANI YA CHAMA ???
KWANINI WANALAZIMISHA SIASA ZA KIDIKTETA ?

tunatiki nini tupo gizani, nguzo ni za kwetu zipo pale mufindi na njombe ila wanatutoza more than 360,000 kuingiza umeme.
Watoto wanamaliza shule na ujinga wao na huku wanajenga madarasa lakini walim hakuna na hawaoni, ila Rais anakua na V8 zaidi ya 50 kwenye msafara wake(utilize gharama za kuzinunua uliza kuhusu maintaining costs)
tunakufa na magonjwa madogo sana ya malaria na typhoid alaf hospitali zinajengwa danganya toto mqdaktari wala vifaa tuba hakuna, na ukiuliza kuhusu dawa unaeza zabwa vibao.
tu atiki vipi watu wanakufa kwakukosa Madawaska alaf MSD inachoma moto Madawaska ya mabilioni yaliyo haribbikia gharani.
barabara kama hakuna mkubwa anaetokea kata yako utasota MURA.
Tunatiki dificity ya walim zaidi ya 238000 mashuleni kwa watoto wetu ? Wakati vijana zaidi ya 300,000 wenye Elim wapo mtaani hawana kazi ??
tunatiki uagizwaji wa chuma kwa zaidi ya trillions 7 kwa mwaka wakati tunachuma hapa kipo na ingefharim mtaji wa trillion 11 pekee kuajir vijana zaidi ya milioni mbili (ajira rasmi na zisizo rasmi combined at once)
tunatiki ripoti za wizi za CAG ambapo waloiba wapo na wanaendelea kuchekeleq huku watoto wetu wanasoma shule bila vitabu, (mfano pesa zinazofujwa kwenye magari yaso na tija ni zaidi ya B 500)
mchanga wa dhahabu wa kutosha kukidhi budget yetu kwa zaidi ya 80% unasqfirishwa nje.
Nchi kinara za kuiza tanzanite ambayo inapatikanq Tanzania pekee ni kesnya na India lakini Rais na watu wak wapo tu wanang'ang'ana na uhaini wa LISSU ambao hawezi akautekelezq
wananchi wananuka shida na wanashindwa hata kuliwazwa kwa bei rahisi ya gesi, gas inavunywa inapelekea nje na aidha imeshabinafsisha alaf sisi tu aagiza gesi nje.
tunatiki rushwa na utekaji ambao si tu askari wanadaiwa kuhusika bali pia hata kuuzia hawawezi wala hawakemei waziwazi.
tunatiki nini ikiwa utekaji na mauaji yanaendelea kushamiri na wala Rais hakemei chochote, huku kqzi yake imesalia kuwa anakemea wanaomkosoa kama kina gwajima ??
tunatiki nini ?? Kufa na kuzorota kwa mashirika ya serikali kama TAZARA na UDART ??