Baada ya ndoa, mume anataka kinyume na maumbile

Baada ya ndoa, mume anataka kinyume na maumbile

Jiweke kwenye nafasi ya mzazi wa huyo binti..utakavyojisikia ndivyo ivyo wengine watakavyojisikia..hakuna mzazi anaefurahia mtoto wake kufanyiwa au kuombwa kufanyiwa huo ushenzyy

Unapojumuisha eti hakuna mzazi unayefurahia huo unaouita ushenzi, hakikisha pia hakuna mzazi anayeufanya.
 
Ni hatari sanaa ila ninachojua wanaume hawawafanyii wanawake wao wa Ndoa..[emoji3][emoji3][emoji3] Lakini huo ushetani hata jamaa angu flani kama bro tu nlisikia shem alimwambia bi mkubwa kisa cha kuachana ni hichooo...!! Ni moja ya Ulevi mbaya kabisaaa ukiacha Cocaine..kubet na sigara
 
Aliwe tu hakuna namna jmaa ndo mingo zake kla tigo,ila ile sehemu ni ya moto wanawezajeee,
 
Ni hatari sanaa ila ninachojua wanaume hawawafanyii wanawake wao wa Ndoa..[emoji3][emoji3][emoji3] Lakini huo ushetani hata jamaa angu flani kama bro tu nlisikia shem alimwambia bi mkubwa kisa cha kuachana ni hichooo...!! Ni moja ya Ulevi mbaya kabisaaa ukiacha Cocaine..kubet na sigara
Ila tamu balaaaa
 
Habarini za Mda huu

Kuna mkasa nmeusikia wa nyumba ya jirani location nayokaa Dirisha langu ni kibarazani kwa jirani yangu Mmama mwenye familia na watoto na wadogo zake kadhaa.

Ila kubwa kabisa ni kuhusu mdogo wake wa kike aliyeolewa yapata mwezi mmoja uliopita na dereva bodaboda

Bidada ameamua kurudi kwa dada ake baada ya ndoa kumshinda anadai baada ya kuolewa tu mmewake akawa anataka ampe kinyume yaani ampatie Tigo bidada amekataa kutoa mmewe analazisha sababu hajamkuta bikra basi anataka atoe ya nyuma na yeye

Hilo suala nimeliskia nikashtuka kidogo nikahisi naota kusikuliza kwa makini ni kweli dada mtu kamshauri mdogo wake alifikishe kwa wazazi wa mwanaume.

Hivi kama mzazi unaletewa case mwanao anataka kumla nyuma mkewe utajisikiaje?
Kimbia mbio, hata vitabu vya dini vinakataa, anataka kuonajis ndoa yenu mapema namna hiyo, usipokimbia atatumia nguvu mdada

Kimbiaaaaaaa
Huyo hawezi kubafilika na hataridhika mpaka nia yake itimie, yaani fungasha ondoka
 
Back
Top Bottom