Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure jamaa nimewaelewa sana...Aisee mkuu umenigusa sana, hii safari ya maisha huwezi jua kesho yako itakuaje.. nipo Mwanza, ningekua namfahamu ama details za Agustino ningeenda butimba pale kumcheki mshkaji nifikishe na salamu zako mkuu.. Wapambanaji sana nyie kaka, Mungu amlinde Agustino
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi kimefanya usiamini kuwa ni kweli?Story zake zinasisimua sana, zingine ni kama uongo na kweli na zinatumalizia bundle na macho kuzipitia link hizi hapa. Mwanzoni niliamini ni story ya kweli haswa hii hapa ya kukamatwa akiiba na kunusurika kuchimwa moto, alipotolewa SDA Chucr na kukimbilia kwa Mwenyekiti wa Mtaa
Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri nimeamua kufanya hivi - JamiiForums
Sitosahau niliponusurika kuchomwa moto tulipoenda kuiba mimi na rafiki zangu - JamiiForums
Sitosahau niliponusurika kuchomwa moto tulipoenda kuiba mimi na rafiki zangu - JamiiForums
Kumbukumbu: Night shift Bulyanhulu, siku niliyotamani kuuaga umasikini - JamiiForums
Naombeni ushauri uvimbe huu unanitesa - JamiiForums
Mkuu usipotoshe jamiiStory zake zinasisimua sana, zingine ni kama uongo na kweli na zinatumalizia bundle na macho kuzipitia link hizi hapa. Mwanzoni niliamini ni story ya kweli haswa hii hapa ya kukamatwa akiiba na kunusurika kuchimwa moto, alipotolewa SDA Chucr na kukimbilia kwa Mwenyekiti wa Mtaa
Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri nimeamua kufanya hivi - JamiiForums
Sitosahau niliponusurika kuchomwa moto tulipoenda kuiba mimi na rafiki zangu - JamiiForums
Sitosahau niliponusurika kuchomwa moto tulipoenda kuiba mimi na rafiki zangu - JamiiForums
Kumbukumbu: Night shift Bulyanhulu, siku niliyotamani kuuaga umasikini - JamiiForums
Naombeni ushauri uvimbe huu unanitesa - JamiiForums
Hapana mkuu sio ubakaji ni hilo hilo la bangi sema tu sikutaka kufunguka saana kuhusiana na agustino. Nilikuwa na elezea maisha yangu binafsijooohs
Katika simulizi yako nyingine, uliandika kuwa kuna jamaa yako fulani kwenye tukio la 2016 alihukumiwa jela miaka 30 kwa ubakaji.
Ukipata muda hebu simulia kidogo, maana awali nilihisi ni code tu kwa ajili ya Augustino.View attachment 1415015
James Jason
Basi na liwe fundisho kwetu sote kwamba tutafute katika njia zilizo sahihiOky wakuu hii ndio itakuwa episode ya mwisho nawashukuru wote waliokuwa baga kwa bega toka uzi unaanza mpaka sasa tumemaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa vitu unavomilik ww nafanikiw bila kwend kwa mganga
yani niwe na vits afu nijisifu nmefanikiwa bcs ya mganga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yapo wazee. Kuna nyumba huku kwetu huwa haifahamiki mmiliki wake. Kila siku usiku watu hutoa vilio wakiwa ndani ya nyumba hiyo, ukiwa kwa nje unaona kama watu wanatembea mle ndani kupitia pazia zile za transparency. Nyumba ni kubwa haina umeme kwa hiyo mwanga unaotumika mule ni kama mwanga wa mshumaa. Eneo hilo linaogopeka sana na ukipita wakati wa mchana unakuta pako kimya kwelikweli, kuanzia usiku saa tano huwa mwanga wa mshumaa unawashwa, halafu sauti za vilio zinaanza kusikika, ni wake kwa waume huku mipishano ikiendelea mule ndani. Wanasema mwenye nyumba alishafariki miaka mingi na sijui hakuwa na familia au laa. Leo nitajiaribu kupapiga picha au kuchukua video
Mkuu usipotoshe jamii
Hapo uzi wangu ni huo wakwanza pekee
Hizo nyingine sijui hata umetoa wapi
Sent using Jamii Forums mobile app