Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Aisee mkuu umenigusa sana, hii safari ya maisha huwezi jua kesho yako itakuaje.. nipo Mwanza, ningekua namfahamu ama details za Agustino ningeenda butimba pale kumcheki mshkaji nifikishe na salamu zako mkuu.. Wapambanaji sana nyie kaka, Mungu amlinde Agustino

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure jamaa nimewaelewa sana...
 
Kipi kimefanya usiamini kuwa ni kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usipotoshe jamii

Hapo uzi wangu ni huo wakwanza pekee

Hizo nyingine sijui hata umetoa wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jooohs

Katika simulizi yako nyingine, uliandika kuwa kuna jamaa yako fulani kwenye tukio la 2016 alihukumiwa jela miaka 30 kwa ubakaji.

Ukipata muda hebu simulia kidogo, maana awali nilihisi ni code tu kwa ajili ya Augustino.
IMG-20200410-WA0000.jpg


James Jason
 
jooohs

Katika simulizi yako nyingine, uliandika kuwa kuna jamaa yako fulani kwenye tukio la 2016 alihukumiwa jela miaka 30 kwa ubakaji.

Ukipata muda hebu simulia kidogo, maana awali nilihisi ni code tu kwa ajili ya Augustino.View attachment 1415015

James Jason
Hapana mkuu sio ubakaji ni hilo hilo la bangi sema tu sikutaka kufunguka saana kuhusiana na agustino. Nilikuwa na elezea maisha yangu binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo yapo wazee. Kuna nyumba huku kwetu huwa haifahamiki mmiliki wake. Kila siku usiku watu hutoa vilio wakiwa ndani ya nyumba hiyo, ukiwa kwa nje unaona kama watu wanatembea mle ndani kupitia pazia zile za transparency. Nyumba ni kubwa haina umeme kwa hiyo mwanga unaotumika mule ni kama mwanga wa mshumaa. Eneo hilo linaogopeka sana na ukipita wakati wa mchana unakuta pako kimya kwelikweli, kuanzia usiku saa tano huwa mwanga wa mshumaa unawashwa, halafu sauti za vilio zinaanza kusikika, ni wake kwa waume huku mipishano ikiendelea mule ndani. Wanasema mwenye nyumba alishafariki miaka mingi na sijui hakuwa na familia au laa. Leo nitajiaribu kupapiga picha au kuchukua video

ukileta picha hizo na video ni tag shekhe
 
Back
Top Bottom