Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Daaa..mimi sina neno,ila pambana mzee
 
Asee mkuu japo hatukukutana ila ushauri wako ulikuwa mzuri sana
Kiufupi niliufanyia kazi nilikutana na jamaa mwingine humu humu akanisaidia nikapata stoo pale kawe

Ila mpaka kila kitu kinakamilika mpaka mzigo, ile pesa yote iliisha hadi nikaongezea nyìngine mahali

Now niko mkoani huu huu mwezi nageuza kurudi ukiwa free muda wowote nishitue tuone tutasaidiana vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gooood Jooohs,.. hiyo ni habari njema tuombe uhai tu.
 
Daaa
Daaaah, hili life hiliπŸ˜™
 
Jitahidi uweke link mkuu,tupate somo
 
Mkuu ikiisha simuliz ya Mkuu Jooohs utupie hayo mauzauza watu wajifunze ama tag location tuje wazee wa adventure kutalii kidogo.
 
Mbona mimi nishamaliza kitambo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nizipitie page zote hadi nimalize bado niko nyuma kidogo, nimefika pale masharti yaligeuka kutoa kafara ya wazazi, napata muda huwa napitia moja baada ya nyingine kwa umakin maana inasisimua kufanya uvae uhusika ukiwa unasoma.
 
Mkuu mbona huku uliandika jamaa alifungwa kwa kubaka,afu huku amefungwa kwa bangi au ni watu wawili tofautiView attachment 1415589

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukio la kuiba ndo kuna jamaa walikua nae alifungwa kwa kubaka lakn hili tukio la pili agustino alikamatwa na bangi akafungwa so Ni watu wawil tofaut aliokutana nao kwa wakat tofaut ktk harakat za maisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…